OCD wa Wilaya ya Hai aangaliwe kwa jicho la pili kwa kuvunja Beria la kwa Somali inayokamata magendo.

Alikaeli

Senior Member
Jul 30, 2016
169
193
Beria hufunguliwa saa 12 jioni na kuondolewa saa 12 lfajiri, beria huwa ina vyuma kama kizuizi, hairuhusiwi gari kupita bila kukaguliwa hii ni kwa ajili ya usalama wa nchi kwa kiasi flani, kufichua maovu na kuzuia magendo. Kuna historia kubwa ya madawa ya kulevya kupita hapo kwa kiasi kikubwa na wamekuwa wakiwakamata hapo (fuatilia habari za miezi ya nyuma).
Beria hupekua magari yanayo beba magendo na kukagua magari yasiyo kihalali mtakumbuka gari lililoibiwa la Ikulu ya Kenya lilkamatwa hapo muda wa usiku, mafuta ya taa kutoka Kenya, mbao na bidhaa zingine zimekuwa zikipitishwa hapo kwa magendo ila baada ya kubaini kuna beria ipo wamekuwa wakikamatwa sana na hivyo magendo hayo kupungua, askari huwa wanawaomba madereva leseni na kadi za magari na kuzikagua, pia ma askari huwa wanafungua buti la gari ili kuona kuna nini wanachobeba usiku ambayo ni vizuri ki usalama.
OCD ameamua kuwa vyuma havitakuwepo tena itabaki doria ya gari tu hapa kutakuwa kuna kitu anakijiua yeye na si vinginevyo.
Swali la kujiuliza:
  • Toka lini serikali ikaamua magari ya usiku yasikaguliwe kwenye maeneo nyeti na maalum,
  • Nani yuko nyuma ya OCD kulivunja Beria ili magendo, pombe haramu na shehena za madawa ya kulevya kama mirungi na mengine yapite ki urahisi hapo,
  • Je hayo ni maamuzi kwa manufaa yake binafsi?
Liangaliwe hili na lifanyiwe kazi kwa haraka kabla yam engine yote hayajajulikana.
---------------------------------------------------------------
UPDATES

Afadhali leo wameweka beria,
 
Last edited:
We unaonekana ni askari unalalamika sababu mmeondolewa ulaji,Beria ya Boma ni usumbufu tuu pale kama ni mirungi inajulikana inapoyoka na inapokwenda hivyo mkiamua siyo lazima beria ,alafu ujue constable hatuko ktk state of emergency ambapo kunakuwa na Beria almost every where in the country
 
Hiyo beria ni usumbufu tupu kuna wakti unakuta foleni zaidi ya nusu saa,dec foleni ilikaa masaa mpka wasafiri wa ndege kuchelewa ndege na kupata hasara ya ticket.heri imeondolewa
Beria hufunguliwa saa 12 jioni na kuondolewa saa 12 lfajiri, beria huwa ina vyuma kama kizuizi, hairuhusiwi gari kupita bila kukaguliwa hii ni kwa ajili ya usalama wa nchi kwa kiasi flani, kufichua maovu na kuzuia magendo. Kuna historia kubwa ya madawa ya kulevya kupita hapo kwa kiasi kikubwa na wamekuwa wakiwakamata hapo (fuatilia habari za miezi ya nyuma).
Beria hupekua magari yanayo beba magendo na kukagua magari yasiyo kihalali mtakumbuka gari lililoibiwa la Ikulu ya Kenya lilkamatwa hapo muda wa usiku, mafuta ya taa kutoka Kenya, mbao na bidhaa zingine zimekuwa zikipitishwa hapo kwa magendo ila baada ya kubaini kuna beria ipo wamekuwa wakikamatwa sana na hivyo magendo hayo kupungua, askari huwa wanawaomba madereva leseni na kadi za magari na kuzikagua, pia ma askari huwa wanafungua buti la gari ili kuona kuna nini wanachobeba usiku ambayo ni vizuri ki usalama.
OCD ameamua kuwa vyuma havitakuwepo tena itabaki doria ya gari tu hapa kutakuwa kuna kitu anakijiua yeye na si vinginevyo.
Swali la kujiuliza:
  • Toka lini serikali ikaamua magari ya usiku yasikaguliwe kwenye maeneo nyeti na maalum,
  • Nani yuko nyuma ya OCD kulivunja Beria ili magendo, pombe haramu na shehena za madawa ya kulevya kama mirungi na mengine yapite ki urahisi hapo,
  • Je hayo ni maamuzi kwa manufaa yake binafsi?
Liangaliwe hili na lifanyiwe kazi kwa haraka kabla yam engine yote hayajajulikana.
---------------------------------------------------------------
UPDATES

Afadhali leo wameweka beria,
 
Unanipa wasiwasi sasa unaangalia jinsi ya kupitisha mirugi usiku ndio maana unarusha jiwe gizani mtakuwa mlipata usumbufu kwenye biashara zenu ndio maana tunaomba irudi na itarudi tu tuzibe bishara haramu. hamuwezi kufaya biashara haramu siku zote
Sifanyi biashara yeyote ile haramu na umuhimu wa hiyo barrier hapo na ufahamu vizuri. Na barrier itarudi ila sio kwa shinikizo lako wewe umeandika huu uzi ukionyesha kabisa hisia zako kuwa imekugusa saaaana kana kwamba unajuwa jinsi una nufaika. ila kwa utaratibu tutakao rudisha hiyo barrier hutapangwa lindo hapo tena😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Nikuulize swali, nafaidi nini hapo beria, umewahi kuniona hapo? imenigusa kwa manufaa mapana sana ya taifa langu na Mkoa wa Kilimanjaro si vinginevyo, ukifikiria na kunituhumu kuwa binafsi nanufaika na iyo beria na kuwa inanigusa sana basi nitaelewa kuwa bado unafikiria na unahisi kupitia makalio. utairudisha wewe nani na utapangwa lindo sio kumbe wewe ndio imekugusa sana kuandika uzi huu unaona kama unakereka eti. tumia akili kufikiria si kingine sawa.

Usibishane na vilaza
 
Kama kweli uko kimanufaa ya taifa zima fanya mpango fika ofisini kwa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa waeleze faida na hasara za hiyo barrier koz humu hamna msaada uta pata zaidi ya comment za fedhea tu. majibu ya kweli yapo kwa viongozi wetu tu huku tuna badilishana habari tu ila viongozi wana weza irudisha hata leo jioni.
 
Back
Top Bottom