Baada ya kuhojiwa BASATA, Irene Uwoya na Steve Nyerere walihojiwa Polisi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Camilius Wambura, amethibitisha kumuita msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya na Steve Nyerere, kufuatia kitendo alichokifanya cha kuwarushia pesa, wanahabari katika mkutano uliofanyika mapema mwa wiki hii.

Kamanda Wambura amesema, walimuita na kumhoji siku ya Julai 17, ambapo alidhaminiwa na kutoka kwa dhamana huku Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi.

''Waliitwa kuja, walionekana kwenye clip moja, Yule Irene alionekana anatupa fedha, kwa wanahabrari, na alihojiwa na kudhaminiwa na uchunguzi mwingine unaendelea'' amesema Kamanda Wambura.

Ikumbukwe kuwa siku ya Julai 15, Irene Uwoya, alionekana katika baadhi ya video zilizosambaa mitandaoni, akirusha fedha kwa wanahabari, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni udhalilishaji na Irene alikiri kukosea na kuomba radhi kupitia ukurasa wake wa Instagram.
 
Mambo ya kuiga iga..ingawa Kuna mambo ya udhalilishaji... Pia kila nchini ina sheria zake kuhusu fedha....fedha kwa maana ile karatasi ( note) ni mali ya serikali haipaswi kuharibiwa either kuchomwa moto, kutupwa etc. Ukifanya Hivyo ni kinyume na sheria. Ikumbukwe serikali inatumia fedha nyingi Sana kuprint.
 
Sasa wanachunguza nini kama clip imeonesha na aliefanya tukio amekiri na kuomba msamaha? Wakati mwingine polisi wanapenda kesi zisiishe sijui kwa nini? Upuuzi tu.

Eti jamani??badala ya watupunguzie matukio ya kutekwa hovyo hovyo mnahangaika na Irene anayetafuta kick..shenzy kbs hawa
 
Eti jamani??badala ya watupunguzie matukio ya kutekwa hovyo hovyo mnahangaika na Irene anayetafuta kick..shenzy kbs hawa
Sijui wanataka wamzungushe ili nao wamle? Maana anaweza kutoa ishu ili asilale rumande kama wema, maana hapo hakuna kesi ya kumwambia aende arudi kwa nini? Upuuzi tu.
 
Sijui wanataka wamzungushe ili nao wamle? Maana anaweza kutoa ishu ili asilale rumande kama wema, maana hapo hakuna kesi ya kumwambia aende arudi kwa nini? Upuuzi tu.

Hyo movie nataman ningeipata mm...ningetuliza akili vzr sana..najua kuna mipolisi inammendea😋😋😋...yaan mm ambacho ningemfanya huyo askari huko room Mungu anisamehe!😣😣angetoka na kirudi hom na kujipiga risasi..mjda huo mie niko Zimbabweees😂
 
Ungemkamua yote mpaka ishindwe kuwa dede tena?
 
Ungemkamua yote mpaka ishindwe kuwa dede tena?

Nimkamue,,nampenda sana?najitahid nipate ht cocaine...naiweka kwa chuchu..jaman..nitaingia na chupa ya soda..nalisokomeza makalion hku kideo kinachukuliwa...ila hapo nakua nishajiandaa kuhama Bongo kbs ...unamdhalilisha had anamuita mamake😣😣😣.mie ni vile umri umeenda..ila ningekuwa jank jank hawa maccm ningewanyoosha..shenzy kbs
 
Back
Top Bottom