Uhusiano uliopo Kati ya rushwa na shilingi kupanda Thamani

so law

Senior Member
Joined
Dec 24, 2018
Messages
103
Points
500

so law

Senior Member
Joined Dec 24, 2018
103 500
Recently nimekuw najiuliza maswali jinsi shilingi yetu inavoshuka Thamani huku
Huku shilingi ya Kenya Ukiendelea kuimarika...
Well mimi sio mchumi ndo sababu sielewi how come Nchi ambayo ina kesi za rushwa shilingi yake inakua imara... Mean while Tz tumejitahid now kubana matumiz na kuzuia mianya ya rushwa but hatuoni au niseme sioni Thamani ya pesa kwa sas.

Ukiona unanunua simu ya mkononi kwa 1.5millioni.kweny nchi yako
Wakati jirani yako ananunua simu ya aina Hyo Hyo kwa 88500/=.jua kuna shida.

So turudi kwen point...
Kenya imekithiri kwa rushwa
Tz tumejitahid kubana matumiz na miany ya rushwa.. Then shida iko wapi wachumi tafadhali..?
 

Forum statistics

Threads 1,379,924
Members 525,627
Posts 33,761,254
Top