Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,504
- 872,365
Kwasasa unachoweza kufanya ni kuitisha tu press conference ili ujibu tuhuma za ushoga kufumaniwa na mambo mengine mepesi mepesi ya kisanii na kufurahisha genge... Ama labda uwe bash boi au msiba.
Press conference nyingine yoyote yenye viashiria vya kisiasa na kutaka kuongelea mambo yasiyotabirika na yasiyotakiwa kuongelewa na watu ama viongozi walio nje ya mfumo
Itisha PC ya namna hiyo lipia gharama zote za sehemu unayotaka kufanyia. Utafurahi na roho yako utakapoambiwa kuwa huna ruhusa ya kufanya mkutano wako hapo na kurejeshewa gharama zako zote ulizolipia bila kupunjwa hata sumni.
Press conference nyingine ambayo haiwezi kupata figisu vikwazo wala mikwamo ni ile ya kuunga mkono juhudi.Ama kuwa sehemu muhimu ya mapambio kwenye praise team... Hapo hata msaada wa korokoloni utapatiwa bila shida.
Kama unajiandaa kufanya yako.... Angalia ni ya nini.
CC: Nape Nnauye Zitto kabwe
Natambua Nape koo linakuwasha na unataka kusema jambo lakini nadhani hali halisi unaijua vema.
By the way na nje ya mada tunahamu ya kujua alipo comrade Kinana maana bila connection yako hatutaweza kujua lolote