Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi kwanini Benki za wazao zina penda sana kupora pesa wa wateja, kiujanja ujanja wao imagine nimekupa Berela wewe unataka kuisearch kwa matumizi yako kwanini unilipishe mimi huo ni wizi. Hizi...
1 Reactions
2 Replies
171 Views
Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, David Maraga, amekamatwa na Polisi asubuhi ya Jumatatu, Juni 8 2026, muda mfupi baada ya kuanza maandamano dhidi ya ujenzi wa miundombinu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya...
1 Reactions
3 Replies
152 Views
NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo; Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts)...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Anonymous
Ninapenda kuwasilisha kero niliyokutana nayo katika Hospitali ya Rufaa ya Tumbi. Nilifika hospitalini hapo siku ya Ijumaa tarehe 29 Mei 2026 kwa ajili ya matibabu. Nikalipia shilingi 15,000 kwa...
4 Reactions
35 Replies
520 Views
Watu hulalamika kuwa kama Mungu yupo mbona kuna kuteseka na kuoneana sana hapa duniani? Hii inatokana na kudhani kuwa Mungu anatakiwa awe mwema. Kuna ulazima wa Mungu kuwa mwema? Kwani akiumba...
2 Reactions
16 Replies
227 Views
🌿 UKUMBUSHO WA LEO 🌿 ⚠️ Madhambi Saba Yenye Kuangamiza ⚠️ Ewe ndugu yangu Muislamu, Mtume Muhammad ﷺ alituonya kuhusu madhambi makubwa ambayo ni sababu ya maangamizi duniani na Akhera. 📚 Mtume...
7 Reactions
27 Replies
366 Views
Niwape siri duniani huku hasa nchi za Asia kama China, Japan na Korea, watu wengi sana wanawajua kina chaba na dudukwe wale Wahadzabe. Nishakutana na madreva taxi wengi sana ukiwaambia unatoka...
2 Reactions
2 Replies
182 Views
Wakuu, Nimegundua jambo la kushangaza – baadhi ya app za mikopo kama YakoMkopo na PesaSasa hazionekani tena kwenye Google Play Store. Uki-search zinaonyesha “This app isn’t available.” Swali ni...
0 Reactions
8 Replies
453 Views
Hii ndio habari nyuma ya habari Unajua kwa hapa Kyela kukiwa na Mkutano wa Chadema wajasiriamali husogea Karibu ambako Nyama choma za mbuzi, ng'ombe, samaki na mdudu hupatikana bila hiyana...
6 Reactions
13 Replies
316 Views
MTN Nigeria imewaruhusu wataalamu kufanya ukaguzi kwenye mifumo yake kupitia mkutano wa wazi uliofanyika Lagos unaojulikana kama “Data on Trial”, uliolenga kujibu malalamiko ya wateja bando kuwahi...
0 Reactions
2 Replies
174 Views
BAO LA ASUBUHI , likitamkwa tiu, wanandoa wana reflect "Morning glory" sasa basi Ukiwa mezani kwako na mume na watoto wako, Ukawasha redio TBC, ukasikia “bao la asubuhi leo ni tamu ” leo...
8 Reactions
46 Replies
527 Views
"Mama Manyema" anayefanya biashara ya Chakula kariakoo, ana siri kubwa! 1. Hana fremu wala kizimba! 2. Hajapima afya kama miongozo ya afya wala hakaguliwi. 3. Haijulikani anapopikia kwakuwa...
12 Reactions
56 Replies
979 Views
Kwa heshima na Taadhima naomba nitenge dakika chache ili kuwafahamisha mambo machache sana kuhusiana na The GREATEST. Juzi tar 3 june alitimiza miaka 10 tangu afariki. THE GREATEST Muhammad Ali...
4 Reactions
9 Replies
159 Views
Hili ni kwa uoni wangu, Ile kitu inayoitwa super power, inakwenda kumalizwa kwa akili kubwa zenye akili pevu,tunaweza kuona russia na china kama si watu wanaojisumbua na lolote lakini ndani yao...
1 Reactions
3 Replies
129 Views
PART 1: Hello bosses and roses.... Leo nimejaribu kuingia jamiiforum bila VPN na ikakubali, hongera sana kwa boss kubwa Maxence Melo na team yote ya JF, nina muda sana sijaandika makala humu...
3 Reactions
7 Replies
280 Views
Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
6 Reactions
14 Replies
208 Views
Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo. Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute...
8 Reactions
15 Replies
291 Views
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili...
8 Reactions
388 Replies
52K Views
🇹🇿🇸🇬 Welcome to Tanzania H.E. Tharman Shanmugaratnam, President of the Republic of Singapore, on your State Visit from 8th - 10th June 2026. This visit symbolizes the deepening friendship and...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…