Nimeibiwa simu techno camon x air maeneo ya mtongani jinsi kuipata kupitia polisi nianzie wapi au ushauri jinsi kuipata nje ya polisi hata kwa malipo na no yangu 0714584646
Katoe taarifa katika kituo cha polisi kilicho karibu nawe. Hakikisha unakumbuka namba 5 ambazo unawasiliana nazo mara kwa mara. Unapokuwa na Polisi "ongea lugha nzuri". Nadhani umenielewa. Mwisho namalizia: "Unapotaka kula basi na wewe kubali kuliwa..." by J.K.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.