Wapi anapatikana sonara anaenunua silva?

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
37,775
Reaction score
109,402
Wazee wenzangu, kimfaacho mtu chake, nimekwama kidogo nauza bracelet (bangili) ina gram kama zipatazo 42 hivi. Sasa huku nilienda kwa masonara kama wawili hivi wakasema hawanunui.

Kama kuna mtu anauhitaji ama anajua sehemu wananunua hii kitu nijuze, nishakwama, sina vyangu, hapa mbele sioni.
IMG_20190726_122614.jpeg
IMG_20190726_122502.jpeg
IMG_20190726_122529.jpeg
 
Hata mm week tatu nyuma nimehangaika sonara za kisutu na kkoo hawanunui . Wanasema silver wanazo kibao na watu hawanunui zimewajalia tu . Ila gold ndio wananunua . . Unauzaje hiyo yako?
 
Ndio nilichojibiwa pia.

Laki 3 na ½ mkuu.
 
Hata mm week tatu nyuma nimehangaika sonara za kisutu na kkoo hawanunui . Wanasema silver wanazo kibao na watu hawanunui zimewajalia tu . Ila gold ndio wananunua . . Unauzaje hiyo yako?
wababishaji tu,hata ukisema una gold wanaanza kugalaliza balaa.
 
Mkuu mie hata sijui ni ya nchi gani, ziko gram 42 hivi, mtu akifika 350k nauza.
Unauza bei sana hapa dsm silver tunanua gram 1 @sh3000,bracelet kama hyo gram 42 inauzwa 126k na nimpya kabisa kuna maduka ya jumla ya sonara sasa ww hili uuze tafuta watu wamtaani uwauzie sio sonara ambao wananua gram elf 3 kwa jumla wakati ww unauza gram 83000 kama uliuziwa gram 1 kwa bei hyo hapa bongo ujue ulipigwa
 
Mkuu kwa maelezo ya sonara niliekutana nae anasema gram moja ni elfu 10 ndio maana bei yangu nikaishusha huko, badala ya 420k ikawa laki 3 na nusu.

Nashukuru mkuu.
 
Hajakosea kukwambia hyo bei sababu Elf 10 ni bei ya sonara kumuuzia mteja anayekuja kwake hila yy kwa jumla bei ndio nilivyokwambia ndio maana nakwambia uza mtaani sio kwa sonara hawezi kununua bei hyo wakati yy anauwezo kununua gram elf 3 na anawekewa zaidi ya 100 mezani kuchagua mkato ww kama unabisha ukiwa na hela nitafute nakupeleka sehemu gram 50 haizidi laki 2
 
Sawa shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom