Ni kampuni au taasisi gani huwa wanachukua/tumia gari za kukodi???

Robb

Member
Jan 16, 2013
61
84
Habari za pilika pilika wakuu??? Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kuna gari 4 aina ya Nissan Patrol Y60 na Y61 hizi gari zinakodishwa sasa swali langu je kuna kampuni au taasisi ambayo huwa wanakodi magari??? Nikimaanisha gari ziwe zinakodiwa kutoka kwenye kampuni yetu???? Gari zinapatikana Dar es salaam.

Karibuni kwa ushauri.
 
Wale Wanaojenga CGR, Yapi Malekezi, Wanatumia magari mengi ya kukodi, wasiliana na watu wa karibu unaweza kukodisha huko.

Mkuu wale sio kuwa wana gari zao za miradi haswa Nissan Hardbody??? Ngoja nijaribu kufuatilia pia.
 
Back
Top Bottom