Wizara ya Kilimo rekebisheni Maandishi kwenye Website yenu

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Rekebisheni Maandishi kwenye Website yenu mnatia aibu
received_2334195776840634.jpeg
 
Rekebisheni Maandishi kwenye Website yenu mnatia aibuView attachment 1167231
Hii wizara ni changamoto sana. Kuna vyuo kama ukirugulu kipo usagara mwanza kinajiita cha utafiti. Miaka yote hiyo hujui hata wametafiti nini na kinapatikana wapi na kwa faida ya nani.
Wanaboa sana.
Kule tarime mbegu ya muhogo mbovu sana na hawa watu wa kilimo na utafiti wao hawasadii chochote
Ovyo kabisa
 
Yaani hiyo wazoef wa IT hapo wanazubaaa sana. Website lazima ifanyiwe update all the time. Sasa yeye hata update afanyi.
Utakuta IT wao ni mzee fulani aliyeshiba itikadi za ccm. Hana ajualo zaidi ya kutumia mabavu. Hana hata muda wa kufanya proof reading.
 
Back
Top Bottom