Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba shuhuda za jambo au mambo ambayo ushawahi kuwafanyia watu waliokukosea yakawafundisha kukuheshimu na kutorudia tena tabia mbovu juu yako. Naomba pia zile shuhuda nzito ambazo wahenga...
21 Reactions
153 Replies
3K Views
  • Redirect
Mahakama Kuu imeamuru Bunge la Seneti Kenya kumlipa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua KSh milioni 50 kama fidia ya kikatiba, ikibaini kwamba haki yake ya kusikilizwa kwa kesi ilikiukwa wakati...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mwaka 2019, jamaa mmoja aliyejulikana kama Aaron Smith kutoka North Carolina alizindua Singularity, app ya kutafuta wachumba mtandaoni ila iliyobuniwa kwa kanuni moja tu, kwamba hakuna mwanaume...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
  • Redirect
Yule aika ni wakala wa shetani, ni mshirika namba moja anaepush ajenda za wanawake kuchukia wanaume, hapa unagundua kwamba ana changamoto ya afya akili, anahisi kila mwanamke akisusia mapenzi...
2 Reactions
– Replies
– Views
Nilipokuwa na miaka 19 na kufanya kazi kwenye baa, nilikuwa nikiwacheka sana watu waliokuwa wanacheza kamari kutwa nzima. Nilijiona bora zaidi yao na kuwaza, "Hawa watu wana akili dhaifu," kwa...
2 Reactions
2 Replies
298 Views
Mara nyingi watu hukumbuka mabaya tu waliyopitia au kufanyiwa katika maisha Yao na watu mbalimbali. Lakini leo ningependa tujue mambo mazuri ambayo watu wamefanyiwa na yameacha alama katika...
11 Reactions
42 Replies
602 Views
Level 1: Wa Chini Zaidi Hawa ndiyo maisha yamewakalia vibaya kabisa. Hana pa kulala pa uhakika, hana mtaji, hana kazi ya kudumu, wakati mwingine hata mlo mmoja wa siku ni bahati. Ndoto yake kubwa...
4 Reactions
12 Replies
221 Views
Tuanze ba uaminifu ndege wengi Huunda couple za muda mrefu, na baadhi yao hubaki na mwenza mmoja kwa miaka mingi au maisha yote. Mfano hata njiwa ambao wanajulikana kwa mahusiano ya kudumu..hapo...
2 Reactions
9 Replies
237 Views
Serikali imewahakikishia wakazi wa Sinza kuwa Mpango wa Uendelezaji Upya wa Eneo la Sinza wa mwaka 2026–2046 haulengi kuwaondoa wananchi katika maeneo yao, bali kuboresha matumizi ya ardhi...
2 Reactions
10 Replies
208 Views
Nionavyo mie, Maisha ya tangu utotoni, malezi, makuzi na matukio tunayopitia yana mchango mkubwa katika kutushape tuwe watu wa aina gani. Ongea yetu, mienendo yetu, namna tunavyochukulia mambo...
4 Reactions
10 Replies
91 Views
USIKU WA KWANZA KABURINI 😢⚰️ Ndugu Waislamu, kifo si mwisho wa maisha bali ni mwanzo wa safari ndefu ya Akhera. Siku ambayo roho itaondoka mwilini, mali, marafiki na ndugu wote watabaki duniani...
3 Reactions
4 Replies
208 Views
ukitazama vijana wa Kenya na wa Tanzania kadri siku zinavyokwenda naona kama mindset zimeanza kutofautiana sana. Kwa mfano Kenya wana uchaguzi mwakani lakini ukiangalia mijadala yao mitandaoni...
2 Reactions
8 Replies
185 Views
Sijui vizuri mambo ya upangiliaji wa mikoa ila nahisi Kahama ina uwezekano mkubwa wa kuwa mkoa Ni maendeo gani mengine unayaona yana uwezekano mkubwa wa kuwa mikoa
1 Reactions
10 Replies
231 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema jukumu la kulinda usalama wa nchi ni la kila mwananchi, akisisitiza kuwa makundi ya uhalifu hupanga na kutekeleza shughuli zao kwa siri...
0 Reactions
1 Replies
90 Views
To stop witchcraft, to stop evil star 🌟 hunters spirit, etc. Read below , Bible verse in seven times, into your drinking water, say your personal intention and drink the water, you can also read...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha...
10 Reactions
32 Replies
404 Views
Jambo lolote linalokusibu, kukusumbua,au una mashaka nalo lipe muda.
7 Reactions
30 Replies
311 Views
Yaani ukiwa Zanzibar, Harusi ni nje nje, utake wewe kuoa.. Hata rafiki yako akioa, anataka mchango wa Elfu tano(elfu moja moja tano).. Kama utatoa ziada ni hiari yako. Lakini huko bara mchango...
15 Reactions
32 Replies
531 Views
Ilienda vizuri sana hadi hapo karne kadhaa kupita akaja mwana mmoja ndani ya mashuka akawaambia watu kuwa ametumwa, sasa ni juu yakonkumuunga au kuuliwa, duniani haijasawa tangia enzi za bwana...
0 Reactions
5 Replies
65 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…