Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

📍Tarime, Mara Kwa mara ya kwanza katika Historia, Tarime Community Network Cooperative Society Ltd kwa kushirikiana na Tanzania Community Networks Polytechnic College na wadau wengine...
1 Reactions
1 Replies
74 Views
Fedha imekuwa ngumu sana natamani nijiunge na chadema maana wao lissu amehaidi akiwa rais hali itakuwa bora. =========== Kenya imekuwa na mipango ya kujenga arena kubwa ya kisasa inayolenga...
1 Reactions
9 Replies
192 Views
Hiki ndio kipindi tulipaswa kuona ushirikiano wao na uwajibikaji wao kwenye hii dharura ya janga hili la dunia. Hapa ndipo walipaswa watoke hadharani na tamko la pamoja na way forward ama walau...
10 Reactions
40 Replies
6K Views
Matukio ya kubambikiwa kesi za mauaji, ujambazi wa kutumia sikaha na kesi zote zisizo na dhanana na polisi hutisha mno kwa sababu huambatana na mateso makali, uharibifu wa maisha, na unyang'anyaji...
8 Reactions
33 Replies
516 Views
Habari zenu WanaJF, Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata...
7 Reactions
56 Replies
967 Views
Salama. Imekua too much sasa maana imefika hatua haiwezi kuvumilika hasa kauli za viongozi kutoka Zanzibar Mwanzo walisema wawafurushe watu wanaofanya kazi mahotelini ambao sio wazanzibar Leo...
2 Reactions
5 Replies
123 Views
Kwa muda sasa kumekuwa na mijadala na taarifa za baadhi ya viongozi Zanzibar kutoa kauli zinazoonekana kuwatenga au kuwashutumu Watanzania kutoka Bara, wakidai wanachukua ajira, fursa za kiuchumi...
5 Reactions
3 Replies
147 Views
Kuna kauli za kibaguzi zinatolewa naa viongozi kutoka Zanzibar tukianza na Naibu Waziri wa vijana Zanzibar alisema wasio wazanzibar warudi makwao Leo tena naibu makamu wa afya anasema hawawezi...
6 Reactions
36 Replies
387 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum, amewataka Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, akisisitiza kwamba bima haziwezi kumlinda mtu...
2 Reactions
8 Replies
318 Views
Ndani ya Jukwaa hili Kuna watu wengi tu ambao wao kila Uzi unaoanzishwa Lazima atie neno tu haijalishi Uzi huo ni wa _ Diplomatic Politics Business Relationship Sports and game Harakati Utan...
18 Reactions
41 Replies
465 Views
Ni jambo la kutisha kidogo, lakini lipo kati yetu ndani ya familia zetu na koo zetu Unapopitia changamoto za kimaisha Kama Uchumi Mahusiano Biashara Masomo Afya na maradhi... Taswira yako...
4 Reactions
7 Replies
337 Views
Ukiwa kweli una uhuru wa kuchagua, ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la Si tu kwamba ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la, bali ungeweza pia kuchagua sifa zinazokufafanua, kama vile utu...
0 Reactions
3 Replies
96 Views
Ukienda dubai utakutana matajiri wahindi wa kutosha (na bado wanaabudi miungu yao), utakutana na models wa kila aina ambao wanafanyika kama escorts wa wana wafalme wa qatar na UAE, sasa hivi...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Ukibadilisha mtazamo wako(mind) na maisha yako yanabadilika na kuweza kufanikiwa. Chukulia huu hapa mfano, wewe unajiangalia sura yako kwenye kioo umeona upele kwenye sura uwezi kuondoa upele...
0 Reactions
5 Replies
379 Views
Nimekaa hapa nikiwaza baada ya siku kwenda ndivyo sivyo! Soon naelekea kwenye utu uzima mkamilifu, nika waza siku mtoto wangu akiwa mtu mzima wa kujitegemea akisha kuwa na maisha na familia yake...
6 Reactions
65 Replies
678 Views
NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya...
2 Reactions
9 Replies
8K Views
Yani mtoto wa kiume unaambiwa tafuta hela una miaka 29 unaanza kujinunusha na kuripoti uzi zangu kama mtoto wa kike Dume zima unajaa makasiriko kisa kuambiwa ukweli, Tabia zako hizo za kimama...
11 Reactions
91 Replies
766 Views
Ushauri wa bure kwa serikali, Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa...
7 Reactions
15 Replies
269 Views
Ukitazama kiundani kuna mambo yanafikirisha. Mfano Waislamu wote wanaipinga Israel na wanawajali sana Wapalestina wa Gaza ila hakuna Waislamu wanaojali Ukraine kuvamiwa na mauaji ya raia huko, je...
4 Reactions
47 Replies
435 Views
Jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi operesheni ya kuondoa spika za matangazo ya biashara zinazotajwa kusababisha kelele katika maeneo mbalimbali ya biashara, hususan Kariakoo, kwa lengo la...
8 Reactions
37 Replies
541 Views
Back
Top Bottom