Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hellow everybody.. Ebwana eee, kuna time inafika ego yako inakuwa kama ime surrender hivi, unaanza kuyaangalia maisha kiuhalisia. Nimejikuta nikiangalia hizi life rant videos nyingi mtandaoni...
2 Reactions
5 Replies
176 Views
Tupige kazi huku tukiwekeza kwenye biashara zingine.
5 Reactions
29 Replies
239 Views
DeletedMember281674
Nimekuwa namfuatilia Sana kwenye platform ya TikTok na YouTube...huyu jamaa nimemkubali Sana kwenye habari za MATUKIO ya kijamii ya hivi karibuni hususani MATUKIO mawili yaliyotokea hivi karibuni...
3 Reactions
8 Replies
359 Views
Kwa aina ya Watoto wa Shule za Sekondari na Vyuoni ninaowaona hapa / huku niliko walivyo Kiumbwaji na Mungu na Kiushawishi kuanzia leo GENTAMYCINE sitowalaumu tena Walimu au Wahadhiri wa Kiume...
3 Reactions
16 Replies
758 Views
Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara. Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Mimi nilivyomwelewa ni kwamba hajawakataza wasihubiri Neno la Mungu kwa maana ya kwamba wasihubiri Biblia au waachane na Biblia. Ila wahubiri neno la Mungu ambalo kwanza LIMEWABADILISHA WAO...
2 Reactions
7 Replies
177 Views
Hakikisha mda wote nyumbani kwako haukosi dawa za dharula hasa kama unafamilia au hata kama upo mwenyewe. Hasa kwa kutegemea hali zenu za kiafya. Ila zaidi zaidi uwe na za kutuliza maumivu kama...
16 Reactions
45 Replies
811 Views
Rais wa Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa nchini Tanzania kuanzia Juni 8 hadi 10, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ziara hiyo itaandika historia...
1 Reactions
19 Replies
363 Views
Licha ya jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na wadau mbalimbali, imeelezwa kuwa watu wenye Ualbino nchini bado wanakabiliwa na changamoto zinazoweka maisha yao katika hatari. Mauaji...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Kumekuwepo na mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii zetu miaka hii ya 2000s, japo huko nyuma pia mmomonyoko huu ulikuwepo lakini sio kwa kiwango cha sasa kutokana na kukuwa kwa teknolojia na...
2 Reactions
14 Replies
166 Views
Mimi kipaji changu ambacho sikitumii kabisa ni kupiga gitaa, hasa hasa gita la solo. Hiki kipaji Mungu alinipa toka utoto wangu,nilianza kwa kupiga madebe, makopo, nikapiga marimba, zeze, ndipo...
23 Reactions
70 Replies
2K Views
  • Redirect
Binafsi sioni umuhimu wa huu muungano. Hauna faida kwa Tanganyika bali Zanzibar Hakuna Mtanganyika ambaye anaweza gombea chochote kile Zanzibar Hakuna Mtanganyika ambaye kaajiriwa na Serikali ya...
9 Reactions
– Replies
– Views
JOSEPH NJIWA PORI NA MWENZAKE MMILIKI KIWANDA CHA NYAMAGARA WAKAMATWA Familia ya Mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza nyavu cha Nyamagara Fishing LTD cha jijini Dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Hii ni mada kwa waamini na waaminio. Wenye imani juu ya vitu vya kiroho. Uponyaji, kinga, mvuto na na bahati kwa wenye shida za kiroho. Tunaweza kusema asili ya mafuta ya upako na maji ya baraka...
181 Reactions
541 Replies
115K Views
Habari za usiku wakuu Natafuta mwenyeji hapa Beni Congo nilitoka Tanzania wiki mbili zilizopita kupitia Julius Nyerere International airport hadi kampala nitakaa Kampala hotel ya 5 star kwa siku...
1 Reactions
6 Replies
150 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Huu ni ukweli mtupu.
7 Reactions
8 Replies
122 Views
  • Redirect
Kwa mtazamo wangu, huu Muungano usipo fanyiwa marekebisho miaka ijayo Kizazi cha Gen Z kitakapo kuwa madarakani, mambo yanaweza kuwa tofauti kabisa; Wazee wangu nawakumbusha tu kwani muda wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…