kulima hatulimi na kula tutakulaLima hata mahindi na mazao mengine uvivu weka pembeni
View attachment 3605034
JF 🤣Ninachokukubali ukishashiba tu lazma utukumbuke wenzako
Hapo mimi naona TZD 11 tu sioni mahindiLima hata mahindi na mazao mengine uvivu weka pembeni
View attachment 3605034
cha kulishia mifugoela ni aina ya chakula
Aaamina ngoja ni mpigie na makofihakuna fedha za mkato wala utajiri wa haraka usio na jasho. Kuweka nguvu kwenye kazi ya sasa huku ukianzisha vyanzo vingine vya mapato (side hustles) ndiyo njia salama zaidi ya kujenga uchumi imara.