Zaburi 130:3; 51:3-5 zinaonyesha kuwa mwanadamu ni mwenye dhambi na hawezi kujihesabia haki mbele za Mungu.
Warumi 7:19,24 zinaeleza mapambano ya ndani ya mwanadamu; anatamani kutenda mema lakini...
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.
Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff...
Kamwene
Streight to the point / swali sio la kijumla ni la kibinafs, ningependa niwe kama hivi tu nilivyo ili hali ya moyo wangu ibadilike kidogo, nimekuwa na moyo wa huruma kupitiliza
Ikitokea...
Huo ndio utendaji wa jeshi la polisi usije kuuliza kwanini wananchi wanalichukia jeshi la polisi.
===============
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za...
Sioni tatizo viongozi wa Zanzibar wanapoweka mbele maslahi ya Zanzibar na kushauri Watanganyika wapunguzwe huko. Mwisho wa siku, wao wanautetea na kuupigania upande wanaouamini kuwa ni wao...
Nadhani hizi stori sio ngeni kwetu! Mbaya zaidi hata baadhi ya staff wa NMB hawajui uhalisia wa jambo hili!!
Hebu angalia hiki kisa changu!
Mwaka huu mwezi wa pili nilifiwa na baba Yangu mzazi...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire amesema kuwa pampu sita kati ya nane zimewasili Nchini na kwamba tayari zimeanza...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane...
Imagine wewe ni laiser/Msuya/Mchome/Sumaye halafu unasikia mtu analeta mada ya Nothern zone huku akifikiri ukiongelea Nothern zone unaongelea Moshi/Wachaga.
Kuna baadhi ya watu mnawakuza sana...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Benki ya Exim Tanzania imeendesha zoezi la kitaifa la uchangiaji damu wa hiari kwa kushirikiana na Taasisi ya Taifa ya Mpango wa Damu Salama (NBTS), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 11 ya...
Habari wanaJF
Hili ni moja ya neno mtambuka na lenye utata sana.
Mtu amepata vihela kidogo hata havizidi million 100 utasikia ni tajiri.
Je utajiri ni kuendesha gari,kujenga ,afya ama nini?
Wakuu Leo nimetoka NSSF Morogoro baada ya tarehe 28/5 kujibiwa vibaya na muhudumu wa reception kuhusu mafao yangu ambayo sasa yanamaliza mwezi na nusu.
Baada ya kukomaa sana waliniambia meneja...
Juni 9, 2026, katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro limefunguliwa shauri la uhujumu uchumi namba 12761/2026 mbele ya Mh. Charles Uisso, Hakimu Mkazi Mkuu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya...
Hellow everybody..
Ebwana eee, kuna time inafika ego yako inakuwa kama ime surrender hivi, unaanza kuyaangalia maisha kiuhalisia.
Nimejikuta nikiangalia hizi life rant videos nyingi mtandaoni...
Nimekuwa namfuatilia Sana kwenye platform ya TikTok na YouTube...huyu jamaa nimemkubali Sana kwenye habari za MATUKIO ya kijamii ya hivi karibuni hususani MATUKIO mawili yaliyotokea hivi karibuni...