britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Kila ukikutana na Watanzania wasioelewa mambo wakiona kichaa muokota makopo unasikia kwamba ni afisa usalama!
Ifike hatua mbadili mtazamo, Dunia ya sasa na teknolojia tuliyonayo si mnadhani kichaa au mtu analazimishwa kujifanya kichaa ili apate habari za ku report?
Maana nashangaa hata watu wenye elimu kubwa wanaamini katika upuuzi huu, hamjui mnawakera wenyewe TISS?