Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 492
- 1,040
Ukiweka ndio ni ule upande wake yaani yeye.
Ukiweka hapana ni upande wa kivuli na automatically unakuwa umechagua ndiyo 😂
michezo imeanza kitambo na hichoo.
Kwahiyo wapinzani hawakuepo kabisa enzi hizoo
Nachoka mimi na haya mambo