Baunsa anayejulikana kwa jina la Mwaisa, amenusurika kuuawa wakati akiwa katika shughuli ya kubomoa nyumba aliyotumwa na tajiri yake. Ni tukio la juzi Jumatano 10/ 06/ 26.
Hongera sana watu wa...
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende...
Nadhani hili mentality ipo sana kwa wazazi wetu hasa ambao.
Hawakufika shule nadhani, waliishi katika dunia ambayo waliamini kuajiriwa ndio kila kitu.
Week iliyopita nilikua kwenye mji mmoja...
Mtu anatoka Makongo anaenda Mbezi Beach, Kawe au Lugalo, kwa nini azungukie Mlimani?
Hii ndiyo inayochangia foleni. Nashauri barabara ipasuliwe itokee pale Makongo Sekondari au Super, ili...
Mojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi. Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani.
Kwenye ulimwengu wa...
Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo...
Mpango wa msanii na mfanyabiashara Akon unalenga kuhamasisha Wamarekani Weusi (African Americans) kuhamia na kuwekeza barani Afrika, kwa lengo la kuwakomboa kiuchumi na kuwaepusha na changamoto za...
Waislamu ni kweli wapo hao? Angalia video
===========
Yaani kama Mwenyezi Mungu angemruhusu mmoja akachungulia duniani basi dunia nzima inakuwa na nuru. Na kama ni usiku mwanga mtupu."
"Hawa mah...
nchi zenye ushawishi mkubwa duniani kama United States, China na Russia bado hazijawahi kuwa na rais mwanamke. Je, sababu ni utamaduni, mfumo wa vyama, siasa za nguvu, au ni jambo la kawaida tu...
ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?
Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa...
Ukitaka kuamini haya angalia mpaka leo waafrika wanakimbilia zaidi nchi zipi bila kuhofia hata dini au rangi zao ? wanapewa zaidi misaada ukiachana na mikopo na nchi zipi ? kwanini mwafrika...
Kabla sijaanza, nataka niweke wazi kuwa spiritual awakening si sawa na dini. Dini mara nyingi hutufundisha namna ya kumtafuta Mungu nje yetu, lakini spiritual awakening ni safari ya kujitambua...
Mikocheni nyuma ya Shoppers Plaza mtaani kwetu vinyesi vinamwagika tu, yaana mwaka sasa na tumesharipoti DAWASA hawafanyi kitu tumeripoti kwa mwenyekiti hafanyi kitu.
Tunaomba msaada kuna Watoto...
BINADAMU NI WANYAMA. NI BINADAMU WACHACHE AMBAO NI WATU. HAYA NDIO MAMBO YANAYOKUONYESHA WEWE NI MTU AU MNYAMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kuna dhana zinazochanganya wengi.
Je Binadamu...
Wakuu
Tutaacha lini kuwa wanyonge
Umwagaji damu wa October 29, utekaji wa akina Polepole, na kupotea kwa hofu ya sheria: Tunaelekea wapi
Ndugu zangu Wana JF
Mioyo yetu inavuja damu, na hatuwezi...
Ndugu yetu katimiza miaka 60 siku ya leo. Tunampongeza. Lakini suala la Wafanyakazi kumiliki hisa za CMG bado imekuwa kitendawili. Suala hili la Hisa Wafanyakazi wa CMG wanalitaka Sana lakini...
Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote...
Mimi ni mdau wa JamiiForums na pia ni mhudumu wa afya katika hospitali moja (napenda kuiita Hospital X kwa sasa), leo kumetokea tukio kazini ambalo limenishtua na kunikosesha amani.
Nilikuwa...