Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sitaki salamu, nimewaingilia humu kavukavu bila mafuta kuwapa ukweli wenu nyie wavulana mnaodhalilisha jinsia ya kiume. Kufanya uhovyo wa kukata mauno, kurembua macho, na kulegeza viungo...
13 Reactions
60 Replies
990 Views
Utangulizi: Safari ya Alfajiri na Ndoto ya Maji Safi Kila alfajiri mkoani Songwe, mamia ya wanawake katika Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe huanza safari ndefu na yenye hatari kubwa. Hii si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Drugs, madada poa ,makaka poa, matapeli, sex parties, kibao kata, etc
0 Reactions
4 Replies
118 Views
Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja...
1 Reactions
3 Replies
176 Views
Hapa Kijijini kumeibuka mtindo wa AJABU kila mwenyekiti wetu anapokosolewa utendaji wake na wa viongozi anaosaidiana nao,kunaibuka kundi la watu wa kitongoji chake na Dini yake kumtetea kwa matusi...
3 Reactions
0 Replies
63 Views
Utangulizi Baada ya kuangazia ukubwa wa tatizo, vyanzo, na athari za ukataji miti hovyo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kupitia makala mbili zilizopita, sehemu hii ya tatu na...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Natumai nyote haijambo bukheri wa afya. Kichwa cha habari husika. Binti wangu ameletewa fomu ya kujiunga shule yenye lundo la options za vitabu. Naomba msaada ninunue vitabu gani muhimu zaidi...
1 Reactions
0 Replies
104 Views
Nini kinachoendelea maana kila kukicha majengo yanavunjwa kwa kasi ya 5G? Je serikali imeyauza majengo hayo? Mana mwanzoni nilijua labda serikali inataka kujenga miradi ya kueleweka
3 Reactions
20 Replies
368 Views
Watu wa Arusha tunawatambua hawa watu wawili kwa CV zao za mambo meusi. Wote wanalalamikiwa na wengi kama watu wasio na mienendo inayofaa. Monaban katajwa mara nyingi kwenye migogoro ya viwanja...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Kabla sijaanza kuzungumzia yaliyomo ndani ya kitabu hiki, naomba nianze kwa jambo ambalo limenigusa hata kabla sijafungua ukurasa wa kwanza. Ninapenda kumpongeza na kumshukuru Mwl. Mbelwa Petro...
0 Reactions
4 Replies
253 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
DAR ES SALAAM PORT DOCUMENTARY Dar es Salaam is Tanzania’s principal port that handles about 95% of Tanzania’s international trade. The port serves the landlocked countries of Malawi, Zambia, DR...
0 Reactions
66 Replies
16K Views
Juzi wakati narudi nyumbani mida ya saa 1 usiku nilikutana na vitoto viwili vya kike vimeshika juzuu nikauliza mnatoka wapi mda huu, wakanijibu wanatoka MADRASA, aisee kwa ule mda nilishindwa...
3 Reactions
3 Replies
138 Views
Msije kusema na ujanja wenu wote mmeshindwa kutengeneza data nje ya mfumo.
1 Reactions
27 Replies
231 Views
Sio unatoka kazini unaingia ndani na kujifungia. Unashinda ndani siku za wikiend unaangalia tv masaa 24 siku za weekend. Wanazengo ni muhimu kwa maisha ya kawaida uraiani maaana wanaweza kuwa...
11 Reactions
36 Replies
438 Views
Hadi sasa Wafanyakazi watatu wamekamatwa na kushtakiwa. Washukiwa wawili wanaripotiwa kujaribu kukimbia kufuatia tukio hilo na ilibidi wafuatwe na helikopta ya kijeshi na kukamatwa.
5 Reactions
16 Replies
340 Views
EWE MZAZI MKANYE GENERATION "Z" WAKO ASIJIHUSISHE NA MAANDAMANO AMBAYO YANAPAGWA NA WANAHARAKATI UCHWARA KUFANYIKA TAREHE 7 JULY, 2026 AMBAYO HAYATAMBULIKI KISHERIA✍️ 👉Ewe Mzazi, kama...
1 Reactions
5 Replies
279 Views
Mimi ambaye nipo kwenye utumishi wa umma mwaka wa 11 sasa ndani ya ofisi 3 tofauti za serikali inatosha kuitwa mkomavu. WAFANYAKAZI wengi wa umma wanakwenda kazini aidha kupiga deal tu na wengine...
2 Reactions
18 Replies
406 Views
Nimeona taarifa kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kwenye ukurasa wao wa Instagram kuwa eti kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 kiasi cha Shilingi Milioni 420 zilipelekwa katika Kata 14 na kila moja...
0 Reactions
2 Replies
221 Views
Back
Top Bottom