Ndugu zangu habari ya hasubuhi.
Wapo manabii wengi ambao wamekua wakitabiria mambo mbalimbali kuhusu nchi yetu Tanzania ,jambo la kushangaza unabii wao huwa wanaoneshwa mambo mabaya tu
Wanaweza...
Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka...
Leo nimenunua kifurushi kwa kutumia M-pesa kupitia menu ya vodacom ambapo walieleza wazi kuwa mteja atarudishiwa sh 75 baada ya ununuzi.Nimefuata maelekezo yote na nimekamilisha muamala,lakini...
✍️Mara nyingi tunapozungumzia taharuki au vurugu wengi hufikiria ni suala la kisiasa pekee .
Lakini ukweli ni kwamba nyuma ya matukio hayo huwa kuna kundi la wahalifu wanaosubiri mazingira ya...
Waefeso 1:7
Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake.
Yesu kristo alijitoa sadaka pale msalabani ili kukomboa ulimwengu na...
Habari wakuu naomba mwenye kuweza kunisaidia hospital Bingwa nitakayoweza kufanyiwa vipimo na kutambua aleji ya vitu vinavyonitesa
Ninakuwa na mafua na pua kuziba na kusababisha koo kuwa na...
Twisheni au Masomo ya ziada ni jambo la kawaida hapa Tanganyika na sasa limeshuka mpaka shule za "vidudu".
Wazazi wamekuwa wavivu kuwafunza watoto wao stadi za maisha na sasa wanapeleka wakalelewe...
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya Barabara kutoka Sheli hadi Mpigi na ile ya kuelekea Tankini na Muheza katika Kata ya Mailimoja kwa kusema kuwa...
1. Watu kupotea mfano Balozi polepole ,Mdude nk.
2. Vurugu siku ya uchaguzi mkuu.watu 518 walipoteza Maisha.
3. Mfumko wa bei kutokana na migogoro ya kimataifa na kupanda kwa bei ya mafuta
4...
Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Mimi nipo Wilaya ya Ruangwa.
Miradi mingi iliyozinduliwa na mwenge imekomea palepale bila kumaliziwa.
Mfano ni kituo cha afya Chienjere na Shule ya Sekondari Namakuku. Miundombinu hii...
Leo nimepata bahati ya kukutana na rafiki ambaye tumezaliwa sehemu moja.
Yeye ni daktari na alisomeshwa kwa nguvu ya wazazi wake kiufupi wanajiweza.
Elimu yake kasomea nje ya nchi.Alipo maliza...
High frequency(aura) ni energy au uwezo ambao mtu anakuwa nao kutoka kwa Mungu( God) au presence of God within.
Kwa nini watu hawa wana high frequency ni sababu ya pure heart(upendo) sehemu...
POLISI MNISAIDIE KUNA HII NAMBA 0681317339 TANGU JANA ANAMTISHIA NDUGU YANGU.
KAJITAMBULISHA NI ASKARI MAGEREZA. TANGU JANA ANAMSUMBUA. PAMOJA NA KUMPIGIA NA KUMUONYA KISTAARABU BADO KAENDELEA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
Nimekuwa mkubwa sasa na ninaweza kuyaona mambo kwa upande wa nyuma tofauti na wengi wanavyotazama
Matango pori ninayang'amua mapema kabla hayajaniteka kama baadhi ya Watanzania wa sasa walivyo...