Nakumbuka nikiwa bado mdogo kipindi hicho tunaishi Morogoro huko wilaya ya Kilombero, tulikuwa tunaishi mimi, mimi yangu mzazi na mama yangu mdogo na mama yangu pia alikuwa na wadogo zangu...
Jumla ya wananchi 537 wamepatiwa huduma za kibingwa na kibobezi katika banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika...
Watumishi wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wanaendelea kutoa huduma za sekta ya Ardhi katika banda la wizara hiyo katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea...
Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho.
Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara.
Hata ukipewa hii...
Shehe ubwabwa Mwaipopo, anajitambuliza kama katibu wa habari wa BAKWATA amengaza ugaidi na serikali na police wapo kimya
1. Anamiliki kikundi cha mbwa mwitu, (uhalilifu)
Alisema wazi akiamuru...
Jinsi ya kuongeza AURA yako
(Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana).
1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani...
Binafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation)
Nimethibitisha
Je, wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya...
TANGAZO KWA WATANZANIA WANAOISHI KATIKA JAMHURI YA AFRIKA KUSINI TAREHE 23 JUNI 2026
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawafahamisha Watanzania wote...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha maboresho ya uhuishaji wa kisima cha maji cha Kwala kilichopo kijiji cha Minazi mikinda, kwa lengo la kuwezesha...
Katika dini zote dhambi zinazopewa kipaumbele zaidi katika masuala ya maadili ni ngono (zaidi sana ushoga halafu uasherati na uzinzi kiasi), mavazi ya wanawake na ulaji kitimoto kwa wasiokula...
Kama Umri Wako Unasoma Miaka 20 – 40, Uko Kwenye Daraja Hatari Zaidi.
Hapa Ndipo Unapochora Ramani Ya Uzeeni Kwako, Au Unapochimba Kaburi La Majuto Yako.
Kabla 50 Haijakugonga Ukaanza Kuilaumu...
Kizazi hiki asa hivi hakitumii pombe kabisa labda mtuambie sie baba zenu mnatumia nini nyinyi mibangi au mnapemesa nyie,sio kawaida mtaani watu hawayumbi tena kama zamani na mikao ya pombe imekuwa...
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.
Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.
Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na...
Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako.
Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu...
Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu.
Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu.
mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio...
90% ya wahudumu wa baa ni ma single mother na ukiwanunulia pombe na chakula unaenda kulala nae.
90% ya wahudumu wa saloon ni ma single mother na tabia zao zinajulikana.
90% ya wanaojiuza...