Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mungu wa biblia akikasirika anaua watu kwa moto na maji ila shetan yupo hai mpaka leo hivi shetani ni adui yake au rafiki yake kama rafiki yake kwa nini tunamkemea kwenye maombi ? Jambo la...
3 Reactions
18 Replies
727 Views
Mods Uzi huu uachwe ujitegemee tafadhari.🫷 Awali ya yote Mimi mpango wa kwenda mbinguni ni kama haupo maana kila nikipiga tathimini Bado najiona Sina sifa hizo Kwanza Zaka sitoi,sadaka...
13 Reactions
82 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya ulimwengu huu na vitu vyote tuvionavyo angani na juu ya imani za dini kuwa ipo siku hii dunia itakwisha na watu walikuwa wanatenda maovu watachomwa moto usioisha...
4 Reactions
16 Replies
150 Views
Je MUNGU atakubali kutuchoma moto tena sisi waafrika? Hiyo sio double punishment? Toka mwanzo tunaiishi jahanam hapahapa duniani kutuchoma tena moto si utakua uonevu? Naomba MUNGU atusamehe...
7 Reactions
15 Replies
849 Views
Kuna dhana inayo fikirisha sana!!! Kuna hii dhana eti mtu akikufanyia ubaya inabidi umsamehe ili uwe huru! Je, is this right? Au ni mtego tu walotumia wanafalsafa kustaarabisha watu? Maana...
0 Reactions
19 Replies
114 Views
Mbingu, Ifakara, TANZANIA – Leo Septemba 7, 2026, Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ametangaza kifo cha mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Mzee Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia...
8 Reactions
21 Replies
635 Views
Kilicho tokea leo ni kielelezo cha maumivu na manung'uniko ya watanzania.. Kifo cha mume wake mama Abduli kimegeuka kuwa ahueni ya wananchi. Kuna namna ambayo watu wamekaa kimya mpaka nilikuwa...
3 Reactions
4 Replies
128 Views
Mbona watu kama wana furaha au ni AI zinafurahia matatizo?
3 Reactions
4 Replies
194 Views
Binafsi natoa pole za dhati Kwa msiba mzito wa Mme wa Rais Mzee Hafidh Uislam unaekeza baada ya mwanamke kufiwa na mmewe akae Idda' Kwa muda wa miezi minne na masiku 10 1. Mwanamke aliyefiwa na...
7 Reactions
33 Replies
335 Views
Kwakweli haya ni majaribu
4 Reactions
15 Replies
320 Views
Anonymous
Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Anonymous
Nipo Mkoa wa Mbeya - Wilaya ya Chunya (Mamlaka ya Mji mdogo Makongolosi), Kata ya makingolosi, changamoto kubwa ya eneo hili ni kukatika katika hovyo kwa umeme. Unawaka dakika 3 then unakatika...
1 Reactions
1 Replies
354 Views
Anonymous
Kumekuwa na tatizo la umeme Wilaya ya Chunya kwa zaidi ya mwaka sasa, kila siku zinavyokwenda linaongezeka, hatupati umeme unaostahili na tukipiga simu huduma kwa wateja tunaambiwa ni tatizo la...
1 Reactions
1 Replies
307 Views
Huenda ni matokeo ya ukatili wa kijinsia.
3 Reactions
19 Replies
274 Views
  • Redirect
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu...
0 Reactions
Replies
Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu...
0 Reactions
4 Replies
245 Views
Kihongosi kaponzwa na interview yake na Odemba hasa kuhusishwa mauaji ya oktoba 29 na police na kuongelea kuchukizwa na utekaji na kupoteza Kwa Polepole. Manara karibu kwenye game
10 Reactions
44 Replies
1K Views
Mjumbe Maalumu wa Masuala ya wanawake Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika (AU), Balozi Liberata Mulamula, ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje katika Serikali ya awamu ya sita...
0 Reactions
3 Replies
69 Views
Nilitoa utabiri mwez wa nane wa tukio zito,limekuja now
0 Reactions
15 Replies
231 Views
Kwa ambao hamjazoea Lugha Kali. Niwasihi muishie hapahapa! Kwani nitaitumia ili kugusa hisia na mioyo iliyolala. So kama Una tatizo na lugha Kali, au unaadabu Sana, au unakiapo cha kutosoma...
14 Reactions
85 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…