de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,664
- 25,022
Kuna dhana inayo fikirisha sana!!!
Kuna hii dhana eti mtu akikufanyia ubaya inabidi umsamehe ili uwe huru!
Je, is this right?
Au ni mtego tu walotumia wanafalsafa kustaarabisha watu?
Maana kuna namna pia msamehewa hufanya makusudi akiwa na lengo la kusamehewa in advance.
Hebu tuangalie katika muktadha wa nature!! Karma haifanyi kazi kama ulivyo hadithiwa ila inafanya kazi kwa kufuata miiko ya energy... Ya kuwa with every action there's an equal and opposite reaction.
Nature haiangalii maadili, kwa nini sisi binadamu unataka kuwa wenye huruma sana?
Binafsi naona ni sawa kusamehe maana, sometimes inabidi umsamehe mtu ili uone kwa nini alifanya alicho fanya.
Ila Kuna incidents mtu anafanya mambo mpaka msamaha inakuwa changamoto.
Je, kusamehe no social construct ama ni vile tu binadamu huona kuna some sort of purpose in it.?