Kuitikia salaam! ni kipimo cha uungwana!

Kuitikia salaam! ni kipimo cha uungwana!

Sikio la muazini

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2026
Posts
249
Reaction score
469
Kuitikia salam ni kitendo cha uungwana na kutoa salam kitendo cha uungwana

Hapa tunazungumzia salama za aina zote

Sasa inakuaje?
mtu kumpa salaam akakaa kimya imekaaje hii umewahi kumpa mtu

Salam na akakaa kimya je? ulimfikiriaje?

IMEKAAJE MTU KUMPA SALAM HALAFU AKALA BUYU YANI AKAVUNGA NA UNAJUA KASIKIA?

SHIRIKI: Maoni yako hapo chini:
 
Zamani ilikuwa inanipa shida kidogo lakini siku hizi wala hainisumbui,nakupa hello ukipiga kimya naendelea na maisha yangu,ila next time maadamu nimeshakujua napita vile.

Ila vile vile nimejifunza kitu,kuna watu huwa wanashida na usikivu usipowajua unaweza sema wanadharau kumbe maskini wana changamoto zap

Kiufupi huwa napenda kusalimia kwani ndio uungwana
 
Kabisa mkuu
 
Mtu akisalimia habari zenu/ yako/ zako/ za hapa/ za mchana ni vizuri akaitikiwa. Tatizo linaanza mtu akisalimia kwa lugha ya Kiarabu Asalamaleko, wengine lazima network ipote wamung'unye maneno.
 
Salamu (hasa shkamoo) ni upuuzi, uwendawazimu na utumwa !!!!

Hello mr
Hello Ms
Hello Mrs
Mambo vp
Umeamkaje
Za kushinda
Weka na zile za kidini (TYK na a.alyeikum)
Hizo salamu zinatosha sana !!!!
Kabisa mi sipendi kusalimia wala kusalimiwa kwa salam ya shikamoo salam inayobagua lika mtoto huwezi kumwambia shkamoo
 
Back
Top Bottom