Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza.
Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha...
WanaJF,
Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata...
1. Jenga thamani ambayo ni vigumu kuiga.
"Usiwe mtu anayehitaji nafasi; kuwa mtu ambaye nafasi inakuhitaji."
Jifunze ujuzi ambao watu wengi hawana. Ujuzi hujenga uhuru.
2. Ahadi zako ziwe na...
Yes kama kawaida yangu mimi huwa story za maisha yangu za kweli huwa nawashirikisha hapa watu mjifunze
Mara ya mwisho niliwaambiaga nilipataga mwanamke mwenye hela bikra
Pia miezi mitatu nyuma...
Nipo kijijini nimeenda kwa Mwenyekiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuwa natakiwa kutoa shilingi elfu moja ya mchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi?
Mwenye ujuzi anijuze.
Kuna watu wanaweza kuyaona maisha haya ni sinema ila kuna wengi huyapitia.
Kwenye kujitafuta safari huwa ina mabonde na makorongo, kuna muda hadi mtaji unaisha ama umeibiwa unarudi zero kabisa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeungana na maoni ya baadhi ya wadau kuwa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, la kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya...
Yamepita majuma kadhaa toka vita kati ya Marekani-Israel dhidi ya Iran kusitishwa huko mashariki ya kati. Vita hii ilipelekea bei ya mafuta ya petrol na dizeli kuwa juu kuliko kipindi chochote...
RUVUMA KUPAA: NDEGE ZA ATCL KUONGEZWA, VYUO VIKUU VIWILI KUANZA OKTOBA,MKANDARASI BARABARA YA NJOMBE KUKABIDHIWA MRADI
Ongezeko kubwa la abiria wanaoingia na kutoka Songea mkoani Ruvuma sasa...
Wanaohusika na maswala ya mipango miji pamoja na Tanroad tunaomba mtuondolee stendi ya mabasi apa NATA kwani ndo chanzo cha Foleni katika Barabara ya Nyerere, just imagine foleni ya magari...
1. KKKT huwambii kitu, wao wamehaidiwa kuwa Rais awamu ya 7 atakuwa mKKKT, wao hawakemei mauaji, ufisadi wala wizi wa uchaguzi
2. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea mauaji ya 29 oktoba
3...
Kitabu cha Isaya Sura ya 4 - Biblia Takatifu [Suahili Union Version]
*Isaya 4:1
Na katika siku ile wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi...
Kabla ya October 29 2025 yani sifa na ngonjera zilikuwa nyingi mpaka na nyimbo.
Ila tokea hapo naona idadi kila kukicha inazidi kupungua.
Hivi mshajiuliza mpaka anaamua kutumia pesa walazimishe...
Hivi unajua kuwa unapoona mtu anatapika "nyoka" kanisani au kiwete anatembea ghafla, mara nyingi hushuhudii nguvu za Mungu, bali unatazama mchezo wa kuigiza uliosukwa kwa ustadi na nguvu za giza...
TATIZO SIO KUUMIA, BALI JINSI UNAVYOKABILIANA NA HAYO MAUMIVU NA PRESHA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Binadamu hawezi kuishi bila kuumizwa, kuumia na kuumiza wengine.
Katika falsafa za...
Tukiweza kupata supporters wa kutosha tunaweza kuitoa CCM mamlakani ifikapo 2030. chama hicho ni cha mafisadi na hakifai kabis wanawakombozi waliuwawa wengi...
1.Truck driving.
2. Heavy Duty machine operator
3.Tafsiri na mkalimani(Chinese)
4.Ufundi Bomba
Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo...