Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

. Kama ni kweli basi tutakaa sana wa tz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, amechachamaa kwa kukosa maji jimboni kwake ilhali wananchi wamelipa bili za maji, hivyo ameamua kumwandikia barua Mheshimiwa Rais kuhusiana na shida hiyo...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ninasema walibakwa kwa sababu mahakama ilidhibitisha pasina shaka. Nachotaka kujua watu hawa wako wapi,wanafanya nini na wamechukuliaje msamaha wa Rais ikiwa pamoja na mwaliko wa wabakaji wao...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Maisha ya shule za Bweni ama Boarding kwa lugha ya kiingereza, ni sehemu ambayo imewajenga ama kuwabomoa watu wengi waliowahi kuyaishi. Katika Thread hii ningependa tukumbushane visa,mikasa na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
A PETITION TO PROF. ISSA SHIVJI ASKING HIM TO DECLINE PROF. MAMDANI’S INVITATION TO GIVE A TALK AT MISR January 23, 2018 Dear Prof Issa Shivji...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wakuu.. Siku moja Mwishoni mwa mwaka Jana kama kawaida nilitoka zangu kwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku mara nyingi huwa nnakawaida muda wa kurudi nikitoka job huwa napitia bar...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa namna maisha yanavyonipiga na namna maisha yalivyogeuka shubiri hasa wakazi wa Bulyanhulu imenibidi nimkumbuke Rais Mwinyi. Shikamoo Mwinyi
3 Reactions
135 Replies
10K Views
Kuna haja ya serikali kumchunguza nabii Titto kama inavyomchunguza Askofu Kakobe ili kubaini kama pombe anazokunywa hadharani kila kukicha anazinunua kwa fedha za sadaka au ana chanzo kingine cha...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Kwa msisitizo na malengo madhubuti ya urusi ya kutaka kumaliza vikundi vya waasi na kukomesha mashambulizi ambayo hufanywa na marekani na washirika wake urusi imeamua kupeleka mitambo ya kisasa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wale wa kuingia na kutoka Tabata tafuteni njia mbadala kwa muda huu maana tairi za train zimehama na kusababisha train kuziba barabara ya kuelekea Tabata.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkazi mmoja wa mkoa wa Mwanza amefariki dunia baada ya kuigonga ndege ya FastJet iliyokuwa ikiruka katika uwanja wa ndege wa Mwanza kuelekea Dar es salaam. Akizungumza na Mwananchi leo Januari...
1 Reactions
70 Replies
11K Views
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe limetoa masaa 72 kwa watendaji 37 kutoka katika kata 15 wawe wamewasilisha kiasi cha milioni 73 walichokusanya kama mapato...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau katika kuhangaika kwangu,nimeangukia katika hii video ya huyu dada ambae anaitwa Susan Michael aka Prettykind’,hii video nimeshindwa kuitolea jawabu lakini naona huyu dada ni shujaa sana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kumekua na imani na theories mbali mbali kuelezea maisha ya mwanadamu baada ya kifo. Kila mtu anaamini ktk chake kutokana na alivyoaminishwa. Huko kwetu uchagani, ipo imani kuwa mtu akifa...
2 Reactions
99 Replies
11K Views
Nimekuwa nasikia jina la huyu jamaa Jidula Mabambasi kwa siku nyingi lakini sijapata jibu sahihi. Naombeni mnijuze huyu jamaa alikuwa ni nani, na pia ni nini kilimuua ghafla miezi michache kabla...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini zenu wakuu. Hili swali nimekuwa nikijiuliza sana, kuna takwimu zinatolewa za umri wa kuishi sitaki kufanya marejeo hapa maana ni kitu kinachofahamika sana. Ninachoomba kufahamishwa...
3 Reactions
77 Replies
5K Views
kama heading inavojieleza wakuu ningependa kujua cv ya muongozaji wa kipindi cha wanawake live na mpigania haki za wanawake joyce kiria
0 Reactions
53 Replies
12K Views
Polisi nchini Cyprus wanasema wanamshikilia raia mmoja wa Israel anayetuhumiwa kufanya biashara ya viungo vya binadam. Moshe Harel amehusishwa kufanya biashara ya figo kwa matariji wa Israel...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom