Rais wa Congo, Tshekedi akibusu Western Wall Israel

Rais wa Congo, Tshekedi akibusu Western Wall Israel

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,906
Reaction score
27,784
Huu ndiyo uhuru wa kuabudu, kubusu western wall au kubusu al Kaaba yote ni sawa tu.
-----------------

Na baada ya Kenya kuweka ukaribu na Israel, na kuwa juu sana hapa Africa Mashariki na kati. Basi Jamhuri ya ki demokrasia ya Kongo nayo haikukaa mbali.

Siku ya jana Raisi wa Kongo Félix Tishsekedi aliwasili nchini Israel na kukutana na Raisi wa nchi hio Isaac Herzog, pamoja na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na viongozi wengine, na kujadili mambo yatakayo nufaisha mataifa hayo yote mawili.

Yani, muda ambao mataifa ya Waarabu yakipambana kuichafua Israel, basi ndipo wanapozidi kung'aa hadi kuwapita hao Waarabu.

Na sasa hivi ndio wakati ambao Israel imezidi kupata washirika wengi kutoka kwenye kila kona ya dunia, na mambo mazuri zaidi yanakuja. Naaam.

1000013495.jpg
 

Attachments

  • 1000013496.jpg
    1000013496.jpg
    245.8 KB · Views: 6
  • 1000013497.jpg
    1000013497.jpg
    281 KB · Views: 4
Na sasa hivi ndio wakati ambao Israel imezidi kupata washirika wengi kutoka kwenye kila kona ya dunia, na mambo mazuri zaidi yanakuja. Naaam.
Sio kweli kaangalie jinsi kura zinavyopigwa UN actually acceptance ya Israel imepungua na wanaotambua taifa la palestina wameongezeka.

Pia tafiti kama za PEW center for research zinaonyesha hata wamarekani wamepunguza acceptance ya Israel. Hata kura za maoni wagombea wengi waliofadhiliwa na AIPAC ya wayahudi wameangukia pua.

Same goes to Ulaya, matukio ya Anti-semitism yameongezeka sana na basically Israel imechukiwa zaidi kuliko miaka yote. Na kwa kulijua hilo serikali ya Israel ilianzisha program ya Hasbara kwa kumwaga mabilioni ili kubadili mtazamo wa dunia juu ya nchi yao. kupitia social media
 
Back
Top Bottom