Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu samahani Nimesajili laini mpya ya HALOTEL ya chuo Ina wiki Sasa Walinipa gb kama 5 hivi za ofa mwanzoni navosajili alafu wakasema Kuna ofa ukiunga kifurushi cha mb 980 cha 2000 na ukatumia...
4 Reactions
6 Replies
188 Views
Huu umri una harakati nyingi, na hauna uzoefu unaohisi unao. Tulia; 1. Pata ujuzi (au wazo la biashara) 2. Anza 3. Acha kuota utatoboa KIMIUJIZA Utajishukuru ukiwa 32+ (& kwa mabinti...
7 Reactions
40 Replies
520 Views
Nini kimemfanya Kafulila kuwa anazunguka sehemu mbalimbali hasa vyuoni kufundisha PPP wakati Tanzania imekuwa ikifanya miradi ya PPP miaka mingi sana tangu awamu ya tatu enzi za Rais Mkapa? PPP...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Maana ya kiroho ya namba 912 mara nyingi hufasiriwa kupitia nguvu zilizojumuishwa za namba zake binafsi (9, 1, na 2) katika hesabu na mapokeo ya kiroho. Hapa kuna mchanganuo wa ishara yake kama...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama kutakuwa na amani mbona mmeanza vitisho sasa! Siwaoni watu wakija huko sabasaba hiyo siku hofu imetawalaa sana =========== WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewasihi...
2 Reactions
6 Replies
167 Views
Salaam wakuu. Mwaka 2024 mwezi January nikiwa na washikaji zangu wawili tukaandaa tour yetu tusafiri mikoa 5 kwa muda wa siku 8. Bajeti ilikua kila mmoja awe na angalau laki 5 ingetosha kwa nauli...
24 Reactions
98 Replies
1K Views
Oya wanangu sielewi elewi machale yamenicheza mtando wa internet kufungwa tena kabla ya 7/7 Na siku nyingine zaidi mbele, kwa hiyo kama una ma file yako mtandaoni na nyuzi zako hadithi...
2 Reactions
9 Replies
276 Views
Salaam wadau na wapendamaendeleo. Wahusika wafuatao wawajibike au kushtakiwa kwa kuhujumu ujenzi wa barabara ya kutoka Bunju B kwenda Mabwepande kwa aina ya ujenzi huu. Hawa ni; mkandarasi...
3 Reactions
23 Replies
411 Views
Tunaiomba JamiiForums kutusaidia kupaza sauti kwa idara ya maji MWANZA (MWAUWASA)kwani ni mkoa ambao pamoja na kua na ziwa lakini maji yanatoka Jumatano au Alhamis pekee tena either usiku wa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna jambo limekuwa likinikera sana, na nimeona leo niweke hapa jamvini ili tujadiliane, na ikiwezekana mamlaka husika (TCRA) na watoa huduma waangalie upya kanuni hizi. Inatokea umepata dharura...
13 Reactions
31 Replies
544 Views
Utata umegubika tukio la mauaji ya Graison Kenyenye (6), mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa jijini Dodoma, Zainab Shaban maarufu Jojo. Graison aliuawa usiku wa kuamkia juzi, wakati mama yake...
8 Reactions
59 Replies
10K Views
Mwanaume Mzima Unakuwaje Pet wa Mwanaume Mwenzio? kumekuwa na wimbi la viumbe wa kiume wanaojiita "Machawa". Eti mwanaume mzima, una ndevu, una nguvu za kutosha kabisa, lakini unajisifu kabisa...
0 Reactions
14 Replies
231 Views
Miaka ya themanini mpaka miaka ya tisimi mwishoni tatizo la nguvu za kiume lilikuwa linawasumbua sana wazee na ilikuwa ikisemekana kuwa sababu kubwa ni umri. Lakini sasa hivi vijana wadogo kabisa...
4 Reactions
12 Replies
253 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa kuna gari la polisi lililochomwa moto na wananchi katika eneo la Mwenge...
3 Reactions
6 Replies
300 Views
Wakuu kazi za kuajiliwa we acha wewe utajisikiaje pale boss wakoaliekuaji anapokufokea mbele za watu huku akikukejeli na matusi juu huwa unawaza nini? WE ACHA TU
1 Reactions
2 Replies
72 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100), kuhakikisha wanakamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
●Yatwaa tuzo mbili ikiwemo mshindi wa tatu wa jumla Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Daniel Chapo wakipokea maelezo...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Back
Top Bottom