Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna baadhi ya mambo hayaingii akilini kabisa: 1. Mnasema mwenye ushahidi wa ubadhirifu unaofanywa na mtumishi wa umma au kiongozi aulete. Je, kweli ni jukumu la mwananchi wa kawaida kufanya...
0 Reactions
3 Replies
84 Views
Leo, tarehe 7 Julai 2026, Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia mtihani mzito wa kisaikolojia baada ya barabara kuu kuwa tupu na maduka mengi kufungwa, kufuatia hofu ya maandamano yaliyohamasishwa na...
3 Reactions
20 Replies
292 Views
Kipimo sahihi na kikuu cha kisheria na kimatibabu kwenye kesi ya ubakaji ni uchunguzi wa kina wa kimatibabu (Medical Examination) unaofanywa na daktari aliyeidhinishwa, akitumia fomu maalum ya...
3 Reactions
8 Replies
209 Views
Unaweza kutofautisha ukimya na ujeuri? Kuna msemo unasema Silence is golden Ni kweli, lakini not every silence is wisdom Kuna watu wanaonekana ni wakimya, na kweli wanaweza kuwa wakimya kwa...
11 Reactions
83 Replies
1K Views
Habari wanajf. Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀. Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale...
11 Reactions
52 Replies
743 Views
Salaam Hii ishu ya 7/7 tunatoka wote inaweza ikawa serious.Nimeamka asubuhi niende mishe ebwana stand Mombassa nimekaa dk zaid 40 ndo nimepata gari ,watu wachache mno na gari chache mno na...
17 Reactions
90 Replies
2K Views
Wazazi wengi hujitahidi usiku na mchana kutafuta mali ili kuwawekea watoto wao maisha mazuri ya baadaye. Hilo ni jambo jema, lakini kuna urithi wenye thamani zaidi kuliko nyumba, ardhi, gari au...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Hivi kuna jambo linaloumiza! moyo akili hisia na linalochanganya akili ya mtu kupita kifo yani kufiwa na ndugu yako wa karibu dada yako kaka baba au mama n.k kuna jambo janga lenye maumivu kupita...
6 Reactions
50 Replies
592 Views
Kitabu cha Enoki (The Book of Enoch) ni maandiko ya kale ya kidini ya Kiyahudi yanayohusishwa na Enoki, ambaye alikuwa babu wa Noa. Ingawa si sehemu ya maandiko rasmi kwa dini nyingi za Kiyahudi...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nipo viwanja vya sabasaba hapa Dar,polisi wametanda wengi sana nje na magari yao na majibwa ndani 95% nawaona ni wahudumu tu ,kupita getini unapekuliwa sana hasa ukiwa kijana kama mm sema mimi...
3 Reactions
6 Replies
191 Views
Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali. Anaharibu ramani ya...
0 Reactions
3 Replies
219 Views
SIRI🤐 Ukisikia neno siri unaelewa nini? Kila mtu ana siri zake asizopenda zifahamike hadharani Zinaweza kuwa siri nzuri au siri mbaya Utasikia mtu akisema, Mimi siri zangu nitakufa nazo...
18 Reactions
268 Replies
2K Views
Naangalia hapa... Watu hamna. Kiukweli kumedoda sana. Barabarani naambiwa wamejaa askari na wanajeshi. Na maduka mengi hayajafunguliwa. Naomba tuendelee kupeana updates hapa. Jana pascal njaa...
6 Reactions
8 Replies
371 Views
Katika hili taifa letu kitu ambacho tunapaswa kupambana nacho Kwa nguvu basi ni umaskini wa kutosha ulipo Tanzania ukizunguka maeneo mbalimbali nchini utakuta watu wanaishi katika mazingira duni...
1 Reactions
0 Replies
85 Views
  • Redirect
Tudumishe amani kwa usalama wetu na kwa maendeleo ya taifa letu
0 Reactions
– Replies
– Views
Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Tuilinde amani ni mtaji wetu, Tuitunze, Tusikilizane, Tuheshimiane, Tushikamane.
4 Reactions
29 Replies
370 Views
Majibu mepesi mepesi ni kama haya haya yanayoendelea kwenye serikali hii mbovu. Unapotangaza mumegundua kuwa majibu ni Ai. Mungesema wameingia na simu maana AI hakuna ya kichwa cha mwanadamu...
3 Reactions
18 Replies
359 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo amesema Wizara yake itaendelea kuhakikisha wamiliki wa ardhi wanapatiwa hati miliki ili kutatua na kupunguza migogoro ya...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Mhh..ukiweza, usiache watoto mikono mitupu dunia iwachachafye. (Hivi sisi tunazaa halafu watajijua mbele kwa mbele kwenye sehemu ambayo hata huduma za elimu na afya KUBWA unalipia😂?) Kama hauna...
12 Reactions
29 Replies
621 Views
Mnakumbuka kipndi cha kuelekea oct 29 Mwanafa Katika ac yake ya instagram aliwahi achia video ikionyesha Show room yake ya magari ya kifahari nyumbani kwake anayomiliki kwa matumizi zilikuwa...
4 Reactions
5 Replies
264 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…