Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa...
1 Reactions
7 Replies
181 Views
Dalili ya Mvua ni Mawingu ndungu zangu, Hawa Mkoba online naona kama kazi inataka kuwashinda! Naomba tupeane Mbinu mpya ya kuhifadhi pesa za vikundi ambapo unaweza kuhifadhi kirahisi na kuipata...
2 Reactions
30 Replies
540 Views
Vijana waliokosa akili sasa kidogo akili zinawarudi. Hao wapinzani hutumia matukio kama ya October 29 ili kupata pesa na mpenyo wa kushika madaraka. Walitaka vijana wafe kwa wingi October 29 ili...
0 Reactions
7 Replies
111 Views
Wanawake ukiwawezesha kuna mda ndio tunaona wana tuziaki mitandaoni sababu tume wavusha. Wasukuma waliwezaje mpaka wakaweza kuishi na wanawake wengi. Kiufupi wazee wazamani
5 Reactions
25 Replies
339 Views
  • Redirect
Je, kilichotokea leo siku ya sabasaba ndiyo sababu ya tajiri Dangote kuichagua Kenya badala ya Tanzania?
0 Reactions
– Replies
– Views
Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu. Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026...
3 Reactions
18 Replies
596 Views
Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi? Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili...
9 Reactions
57 Replies
579 Views
Kila siku, mamilioni ya watu hukusanyika kwenye nyumba za ibada wakipiga magoti na kuomba amani, ajira, afya bora, na kupungua kwa umaskini. Maombi na Dua hutoa faraja ya kiroho na matumaini ya...
2 Reactions
1 Replies
81 Views
Ngoma zetu zimebaki kuwa kama nyimbo za ukombozi, zimekuwa ngumu kufutika kabisa.. Tofauti na hizi zetu kama pipi tofi, zinayeyuka hata bila kumumunya
7 Reactions
6 Replies
190 Views
Kwa wale wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume. Hii sio KWELI. Ukweli ni kwamba wote tuko sawa, yaani wanaume na wanawake. NOTE: idadi ya wanaume Duniani ni 50.5% Idadi ya wanawake Duniani...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet...
5 Reactions
8 Replies
331 Views
Amehitimu form four mwaka jana kwa msaada wa mfadhili ambae kwa bahati mbaya alifariki akiwa katikati ya masomo, hivyo kafanikiwa kumaliza kidato cha nne kwa kuungaunga tu lakini alifanikiwa...
6 Reactions
36 Replies
445 Views
kila mtu anajua hili kuna walimu walituvumilia sana mpaka tukafika hapa tulipo leo. Lakini wengi wetu tukishamaliza shule hatukanyagi tena hata kwenda kusema Asante mwalimu. Je, wewe una mpango...
4 Reactions
37 Replies
479 Views
SPROUTS PRE & INTERNATIONAL SCHOOL – UPANGA, DAR ES SALAAM Je, unatamani mtoto wako apate elimu bora katika mazingira salama, yenye upendo na yanayojenga msingi imara wa mafanikio? Sprouts Pre &...
1 Reactions
3 Replies
143 Views
Kuna wakati ushindani unatakiwa ukubali ukweli. Sio kila kitu unachotengeneza lazima kiwe tofauti. Kuna muda unatakiwa ujifunze kutoka kwa aliyefanya vizuri zaidi. Nimekuwa nikitumia Merchant...
4 Reactions
6 Replies
261 Views
Leo Julai 7, 2026 ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya Biashara Kimataifa, maarufu kama Saba Saba (77), ambapo mataifa mablimbali hupata kuonyesha bidhaa zao na kuimairisha ushirikiano wa kibiashara na...
5 Reactions
7 Replies
392 Views
Yani mtu unajua kama ana umeme lakini anasambazia wenzie kama hana akili timamu.. SwaliKwanini unasambaza VVU kwa makusudi?? #Ukimwi upo na unaua pima mapema jitambue chukua tahadhari.
17 Reactions
201 Replies
3K Views
Hali ya taharuki imetawala katika Mtaa wa Mabibo Sahara Jijini Dar es salaam baada ya Watu zaidi ya 30 wakidai kupangishwa chumba kimoja na Mtu anayetajwa kuwa Mmiliki wa nyumba, ambaye kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
  • Featured
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya...
23 Reactions
124 Replies
4K Views
Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. 📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia...
7 Reactions
27 Replies
654 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…