Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu...
3 Reactions
12 Replies
222 Views
Nimeona umeandika Uzi wangu kuhusu " Bibi Fisi wa Igogo Mwanza " bila ku acknowledge kwamba Uzi umeutoa kwa mtu anae tumia jina la LIKUD at Jamii Forums. Au at least ungesema umeutoa Jamii...
0 Reactions
4 Replies
84 Views
Katika ulimwengu wa biashara ya vinywaji, hususan bia, mataifa mengi yanajipatia umaarufu mkubwa na mapato kupitia usafirishaji wa bidhaa zao nje ya nchi. Lakini Tanzania bado tupo nyuma. Licha ya...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Bodaboda Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini Mada Wakuu, habari za muda huu. Leo nataka niteme nyongo...
12 Reactions
93 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, amepongeza huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Wakuu niaje? Natumai mko poa... Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini? Siku za hivi karibuni nimefanya...
19 Reactions
155 Replies
5K Views
Binadamu tu viumbe wa wababaifu sana na tuliyojaa unafiki uliopitiliza.. Leo hii kuna watu wanailalamikia Chama Tawala na Tume yake Huru ya Uchaguzi, kwa kile ambacho kiuhalisia kilikuwa dhahiri...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Anonymous
Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Nilikuwa napita Morogoro Msamvu uelekeo njia ya Dodoma nimeona kituo cha CNG kinajengwa pale hio ni hatua kubwa sana Kikikamilika mtu anaweza kutoka Dar mpaka Iringa kwa Gesi ya 50k tu , nafurahi...
3 Reactions
0 Replies
71 Views
Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini... Je?..Kwa kifupi naweza pata...
4 Reactions
8 Replies
170 Views
Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi...
4 Reactions
18 Replies
351 Views
Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni...
0 Reactions
10 Replies
149 Views
Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
1 Reactions
8 Replies
204 Views
Anonymous
Habari jamii forum, Mimi ni mdau kutoka Mpanda, Katavi. TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo ovyo. Ni kama vile hakuna mamlaka ya kusimamia. Yaani kwa siku umeme lazima ukatwe zaidi ya mara 3 na...
1 Reactions
2 Replies
287 Views
1. Ndugu zangu inasikitisha jamii inafurahia Matusi hadharani. Wazazi NAO wanaona ni chanzo cha kipato. Wenzetu duniani wanapambania Innovation za maana hapa kwetu mtoto anachamba mama zake eti...
20 Reactions
181 Replies
8K Views
Tumelipia huduma ya kuunganishiwa umeme Kata ya Moshono hapa Arusha Mjini, ikiwemo gharama za nguzo na taratibu zote zinazohitajika kupitia TANESCO. Hata hivyo, hadi sasa imepita takribani mwezi...
1 Reactions
1 Replies
164 Views
Zile showroom uchwara jijini zimeficha magari yao zile open space zote leo zipo wazi kama uwanja wa mpira. Tuolinde amani kwa wivu mkubwa.
13 Reactions
27 Replies
661 Views
Operator job in Singapore Location :Woodlands / Tuas Production: Electric / food 4 days work a week Salary: $1600-$1700 OT- 1.5 Qualification- SPM and Non-SPM All are welcome. Interested can...
0 Reactions
4 Replies
706 Views
Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Nimekuwa nilipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe...
1 Reactions
6 Replies
155 Views
Huyu ni mbunge kwa tiketi ya chaumma anadai bunge linatumia pesa nyingi sana lakini mchango wake ni mdogo sana Kwa nini anasema hivi na upi mtazamo wako?
4 Reactions
9 Replies
241 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…