Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Shughuli za Matibabu na Upasuaji Upasuaji mkubwa: Huhitaji chumba maalum cha upasuaji chenye mazingira yasiyokusanya wadudu (sterile). Vipimo vikubwa vya picha: Huwezi kuweka mashine za MRI...
3 Reactions
6 Replies
180 Views
Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi, inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Jijini Lusaka kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa...
0 Reactions
4 Replies
64 Views
Habari ndugu wanajamii Sisi walimu wa ajira mpya wilaya ya Kwimba-Mwanza tarehe 31/08/2026 tumelipwa kwenye account zetu shillingi laki tatu na elfu sitini tu (Tsh.360,000/=) kama hela yetu ya...
0 Reactions
10 Replies
148 Views
Hizo ziko Africa pekee aise. kwingine kote lazima ule kwa jasho na kutumia akili. Sikatai kwamba kuna dirty money. Mshana Jr
6 Reactions
20 Replies
189 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kuwa ujenzi wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza umefikia asilimia 69.2%, hatua inayoonesha kasi kubwa ya utekelezaji wa mradi huo muhimu wa usafiri nchini
1 Reactions
7 Replies
140 Views
Hivi nivyo jokofu langu lilivyo.
8 Reactions
13 Replies
246 Views
Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uwekezaji wa takribani USD bilioni 20 unaiweka Tanga katika nafasi muhimu ya kuwa kitovu cha nishati, ukifungua fursa za ajira, kukuza...
0 Reactions
2 Replies
39 Views
Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi...
2 Reactions
13 Replies
192 Views
Kijana wa miaka 18 aliyetajwa kuwa mshukiwa wa shambulio la risasi 13 Feb 2026 lililoua watu wanane na kujeruhi makumi ya wengine huko British Columbia, Canada, Jesse Van Rootselaar alipatikana...
2 Reactions
7 Replies
96 Views
0 Reactions
0 Replies
31 Views
For majority part of my life, Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina. Jibu limekuja, Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini...
3 Reactions
19 Replies
154 Views
Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri. Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na...
2 Reactions
23 Replies
188 Views
Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao? Mbona technology...
5 Reactions
31 Replies
454 Views
Utafiti wa mwaka 2026 kutoka IWSR unaeleza kuwa 81% ya Millennials (Milenia) hunywa pombe, kiwango cha juu kuliko vizazi vingine vinavyoishi. Gen X wanafuatia kwa 77%, huku Gen Z wakiwa 74%...
4 Reactions
5 Replies
73 Views
Nianze na tukio lililotokea juzi na likanihuzunisha mno. Watu wa maliasili wamepita barabara ya Nangurukuru-Liwale wakakusanya na kuchukua mkaa wa walalahoi wote wanaouza mkaa barabarani, wengi ni...
1 Reactions
7 Replies
79 Views
Wakuu salama. Kuna mada naona inabidi tuichambue kwa jicho la kisomi kidogo, hasa kuhusu jinsi tunavyouza jasho letu wenyewe kwa kuziachia benki za kiasili zishikilie akiba zetu za muda mrefu...
5 Reactions
72 Replies
1K Views
guest-1788672427
.
35 Reactions
132 Replies
1K Views
Mtu akiwa na camera kubwa akirekodi kwenye party au barabarani unaona ni kawaida labda ni journalist au documentary maker Lakini mtu huyo huyo akishika simu na kuanza kurekodi, unaweza hata...
1 Reactions
6 Replies
51 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…