sikutaka tuwe na post leo..ilikuwa tupumzike..mishemishe za kilingeni jana zilikuwa si haba
Lakini hebu tujadili kidogo hili la maiti(sio marehemu)
Maiti ni mzoga pumzi ikishatoka imetoka...
nimekaa nimefikiria sana kwanini wabongo wanapigwa sana lakini bado tu hawachoki kupigwa yaani anatoka huyu anapiga hela anakuja mwingine anawapiga hela yani ni muendelezo tu, alikuwepo mr kuku...
Mwanamume unaamini mwanamke akisoma anakuwa tatizo kwenye mahusiano, ‘hatawaliki’ na ataishia kuwa msimbe.
Kwa nini sasa unasomesha watoto wa kike? Unawaandaa kuachika?
Haya. Umeoa asiyesoma...
Binadamu sisi tuna namna tofauti za kujenga utambulisho. Kila mmoja wetu ana eneo analojivunia nalo, linalomfanya ajisikie fahari hata kama hasemi wazi wazi.
Mwingine ni kuonekana mtu wa...
TAHADHARI: JILINDE DHIDI YA NGONO ZEMBE, MAKEBO MAKUBWA YASIKUPUMBAZE, TAMAA YA PESA ISIKUDANGANYE.
Tz, botswana ,sauz, mozimbqe, zim, namibia, angola ilikuwa ya moto sana ila sauz ndio ilikuwa...
Ipo kila sababu ya kuufufua mjadala wa Bodi ya kitaaluma ya Walimu kuliko Ili kupata nguvu ya mjadala wa leseni. Kitaaluma leseni za ualimu sharti ziukiliwe na chombo ambacho ni Bodi.
Kujadili...
Amitabh Bachchan (mwigizaji gwiji nchini India) aliwahi kusema:
"Katika kilele cha kazi yangu, wakati fulani nilikuwa nikisafiri kwa ndege. Abiria mmoja karibu yangu alikuwa bwana mzee aliyevaa...
Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani...
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Harriet Lwakatare, akichangia damu kwa ajili ya kuongeza akiba ya damu katika Benki ya Damu nchini na kusaidia kuokoa maisha ya watu...
Anayetunuku nyota mabegani kati ya JWTZ na Polisi Mbona Tofauti. Rais anasimamia upande upi? CDF na IGP nani mkubwa? Mbona sijaona mgambo ana cheo chochote?
Je JWTZ na JKT wako sawa?
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amesema si sahihi kwa wanaume kuwasomesha mabinti kwa kigezo cha kuja kuwaoa watakapokuwa wakubwa.
Dkt...
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma...
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma...
Huu ni uzi wangu wa kwanza kubandika kwa kutumia id yangu mpya baada ya ile niliyokuwa natumia tokea 2010 kusahau nywila yake. mwaka 2016 ilikuwa mwisho kuitumia nikawa nje, niliporudi mwaka 2024...
Utaratibu wa NEST unatumia gharama kubwa kwa baadhi ya huduma. Mfano huduma ya chakula.
Hili nimeliona kwenye uendeshaji wa mitihani ya darasa la saba. Shule zinalazimishwa kuagiza vyakula...
Ukwerli mchungu ambao wengi wanaukwepa, lakini unaharibu maisha, ndoto, na nguvu kazi ya wanaume wengi katika jamii yetu.
Tunazungumzia thamani ya jasho la mwanaume na hitaji la haraka la...
Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya...
Hellow jamii, ni matumaini yangu mko poa na wazima wa afya njema sana. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwajili ya hilo.
Guys, katika pita pita zangu vyuoni na taasisi mbalimbali nimekuwa nikiiskia hii...
Umoja wa Ulaya (EU) na Ujerumani wamezindua mradi wa uchumi wa buluu wenye thamani ya TSh bilioni 49, unaolenga kuimarisha sekta ya uvuvi, bandari na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.