HII PICHA NI FEKI!
MBOGA HAZIWEZI KUKAA KWENYE FRIJI HATA KWA SIKU MBILI ZIBAKIE NA HIYO RANGI YA ASILI.
LAKINI PIA PARACHICHI HAZIKAI KWENYE FRIJI nk nk nk
Dah!Mnatutesa tu na mafriji yenu.Hapa kwangu sanasana niulize mtungi una maji baridi?Au debe bado limejaa dona?Kuhusu mboga,kuna zilizokaushwa kama vile nsansa,kansolele,nyama na msusa mkavu.Viungo vya asili kama ntwili,samli na mbegu kavu za maboga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.