Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na...
19 Reactions
40 Replies
607 Views
Habari za muda huu wanajamii... Natumaini humu kuna watu mbalimbali wenye uzoefu katika masuala ya biashara na pia kuna waajiriwa wa serikalini na sekta binafsi au vyote kwa pamoja(waajiriwa ila...
14 Reactions
76 Replies
3K Views
Unataka " Kusema jambo na limtokee mtu, hapa JF fanya hivi ! Chukua kidole chako cha pete , kipake mate yako kisha gusa picha ya profile ya mtu unamkusudia kisha sema hivi " Wewe niliyegusa...
5 Reactions
51 Replies
560 Views
Ujumbe wa CPA(T) Emelia Simon Mwakatwila kuhusu utendaji wa kazi kwenye ofisi mbalimbali. Ana hoja?
1 Reactions
19 Replies
311 Views
Wanaume wengi ambao ni wazazi wa watu yaani baba hawajui taarifa muhimu za watoto mfano kama alizaliwa lini, kwa maana ya tarehe, mwezi na mwaka, ana umri gani, au hata anasoma darasa la ngapi...
10 Reactions
74 Replies
959 Views
Ana swaga zake hivi yaani ndo hivyo. Swaga za Kitanga hizi. https://www.instagram.com/reel/Dapa3hCMdE8/?igsh=MmtzZDNjMnl5cDU2
6 Reactions
24 Replies
410 Views
Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellectual endeavor. ORIGINAL THREAD HII HAPA NILIIANDIKA...
105 Reactions
294 Replies
46K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata...
19 Reactions
221 Replies
21K Views
Wakuu nachukua nafasi hii kuwapongeza TANESCO kwa kuweza kupiga hatua ya ukuaji kwa kuhakikisha licha ya ukame na vipindi tunavyopita bado wamekuwa wakitupa umeme pasipo kukatika masaa 24/7. Muda...
2 Reactions
24 Replies
767 Views
Kamati ya Olympick imeapishwa na wakili Gaston George Mwageni Peacock Hotel, Dar es Salaam. rais- 1 Leonard Thadeo Katunzi 2. Nasra Juma Mohammed 3. Khalid Yahya Rushaka, 4 Noorelain...
1 Reactions
11 Replies
174 Views
Katika jambo la hovyo ambalo sijawahi kulielewa ni hili la wenye nyumba kudai kodi miezi mitatu mpaka sita. Nini hasa kinachosababisha mwenye nyumba atake kodi ya miezi mitatu au sita?! Duniani...
13 Reactions
104 Replies
2K Views
Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Bank hii ya ACCESS BANK naomba mrudishe Pesa zangu kwenye kampuni yangu ya TEACHERS AND STUDENTS FORUM_TZ, Account No.01241001086-67, ambapo nilifungua Account mwaka 2013 tawi la Kijitonyama,DSM...
11 Reactions
63 Replies
7K Views
Wana Arusha wanasema mama mi 5 tena Ili kazi Iendelee. Ahadi imetekelezwa Arusha: Serikalini kuanza Ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa MK-ICC Uliokwama Kwa miaka 18. Wadau, Hii renders...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
07 Julai 2026 Saudi Arabia yazindua majaribio ya Package Visa ya Utalii ili kurahisisha usafiri Julai 7, 2026 | 12:39 AM Picha maktaba ya jiji ls Jeddah Gazeti la Saudia RIYADH — Saudi Arabia...
0 Reactions
3 Replies
96 Views
Niliwaahidi mvute subira. Hatimae picha ya mwanzo ya Ayatollah Khamenei zikimuonesha akiwa na Ayatollah Khomeni na Major General Qasem Solemani huko Firdaus (Pepo ya Kobaz) wakishangilia ushindi...
3 Reactions
6 Replies
369 Views
  • Redirect
Habari Za Mchana Wana JF, Kumekuwa Na swali Linaloulizwa Na Watu Wengi Kwanini Ayatollah Khamanei Wa Iran Alichelewa Kuzikwa Wakati Kiimani Ni Mwislamu? Kwanza Tunapaswa Kutochanganya Uhalisia...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Kuna kero ambayo inatuumiza wananchi wa kawaida wilaya ya ILEMELA MKOA WA MWANZA kwenye ofisi ya usajili hasa wa vyeti vya kuzaliwa, tunachukua form tunajaza details zote ziko sawa msajili akifika...
2 Reactions
6 Replies
847 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…