Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo...
Wakuu salaam,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,sisi ni wachimbaji wadogo tunaopatika hapa kata ya runzewe Kijiji cha burumbaga mkoa wa Geita.
Tulianza kazi hii ya utafiti tukiwa watu wanne...
Mahakama huru.
Maridhiano chanya.
Wanaharakati Magaidi.
Maridhiano siyo udhaifu.
Hapo kaa kinjagu bwana mdogo, unaenda kuwa picha nzuri kwa mahakama.
Mwisho wenzako wanakucheka 😂!.
Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali...
Mambo yalikuwa hivi. Kulikuwa na sababu tosha kabisa za kujenga Refinery ya Dangote Tanga. Museveni, Ruto na Dangote walijadiliana hili, na wakasema kwa sababu bomba la mafuta kutoka Uganda...
Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa.
Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa...
huwa simkubali Dudu Baya kwenye kila jambo, hasa pale ninapoona anaisifia sana serikali na ku m mention mama samia lakini kuhusu namna alivyofunga shoo kwangu ilikuwa poa
Kufikia alfajiri watu...
Kwanini matajiri huwa hawashiriki moja kwa moja kufanya ubaya badala yake vijakazi wake
Je waogopa Karma ?
Je wanaogopa lawama
Tuchukulie hii scenerio
Au naomba kutapa ufumbuzi
mfano kwnye...
Nasema hiki ndio kizazi cha hovyo kabisa kutokea tangu kupata uhuru.
Wazazazi wanapaswa kuwa na bajeti ya kusomesha na bajeti ya kupeleka mtoto sober house
Inasikitisha sana.
Wakuu kusafiri Stendi ya Misuna iliyopo Singida Mjini ni kipengele kikubwa, tiketi unakata saa kumi jioni ili uondoke saa 3 usiku matokeo yake mpaka saa saa saba za usiku hujui hatima ya safari...
Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali...
Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na...
Habari za muda huu wanajamii...
Natumaini humu kuna watu mbalimbali wenye uzoefu katika masuala ya biashara na pia kuna waajiriwa wa serikalini na sekta binafsi au vyote kwa pamoja(waajiriwa ila...
Unataka " Kusema jambo na limtokee mtu, hapa JF fanya hivi !
Chukua kidole chako cha pete , kipake mate yako kisha gusa picha ya profile ya mtu unamkusudia kisha sema hivi " Wewe niliyegusa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.