Samia anasema kuwa Tanzania ipo vizuri katika kufuata misingi ya haki za binadamu kwa muda mrefu huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria.
Mama huyo ameyasema hayo wakati wa kufungua...
Miaka ya nyuma nilivyohitimu, nilikumbana na msoto mkubwa wa kuwa jobless na skill-less. Nilikuwa na vyeti, lakini sikuwa na ujuzi wa kuniingizia kipato. Ukweli ni kwamba nilianza kupata fedha...
Mkutano wa 28 wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ngazi ya wataalamu umefunguliwa leo Julai 13, 2026, mjini Salima, Malawi ambapo...
My Take
Tusidanganyane, Ajira inalipa ndio maana wanatoa hizo kauli wako kwenye Ajira na hawataki kuacha Ajira hasa viongozi wa siasa.
Mfano huyo Jamaa mshahara wake ni karibu Milioni 170 Kwa...
Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾
Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Mkuu wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kuwekeza zaidi katika huduma za...
Hakika this is what we were waiting for..
Hii nchi ilikua kama jalala, watu walikuwa wanaonewa na kunyanyaswa bila huruma. Kuna damu zimemwagika bila hatia.. Na wengine wameuwawa na kupotezwa...
Naona nyuzi nyingi zikikosolewa na kupuuzwa eti "JF imevamiwa,ooh watoto wa FB,mara vitoto vya 2000 hivi" hizo ndio akili za mwafrika,akili zimelala,hazitaki mabadiliko.
Kwa hiyo nyie wazee au...
SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo...
Nimekuwa nikisikia hivyo na sikuwa nafuatilia sana hilo jambo. Mara nyingi nmekuwa nikisia... Bonyeza Nyota itakuwa ya kwako.
Je umewahi shawishika kubonyeza nyota? Ikawa yako? Je umeona kuna...
Hivi hili tatizo la mtoto kua na ulalavi(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili...
mimi kwa wastani nina nyuzi 17 ambazo hua nina andika kisha ninazifuta kabla ya kuzipost.
hata uzi huu nilishawai kijaribu kuandika wiki kadhaa zilizopita, kabla ya leo tena kuufikiria..
leo ni...
Nadhani njia kuu yakusambaza lugha duniani ni UKOLONI(utumwa),HUAMIAJI,BIASHA(bidhaa).Je mbinu izo sisi waswahili wanaweza zitumia kwa dunia ya leo ambayo maofisi yote duniani yanatumia maelekezo...
Hapa kitaani kwetu kuna jamaa mmoja ambaye kwa muonekano wake anaonekana kuwa kama ni kichaa ila anafikirisha.
Huyu jamaa anatabia moja akipita kijiweni akakuta masela anajamba bonge moja la...