Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa. Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na...
4 Reactions
36 Replies
657 Views
Chanzo: BBC BBC Africa Eye inamwangazia kiongozi wa upinzani wa Tanzania aliyeko kizuizini, Tundu Lissu, ambaye sasa anakabiliwa na changamoto kubwa zaidi katika maisha yake ya kisiasa. Baada ya...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Msemaji wa Serikali analalamika kuwa documentary iliyotolewa na BBC imesikiliza upande mmoja. Sasa najiuliza je Serikali yake inayotoa matamko kuwa wanaharakati magaidi, wataka haki ni wachochea...
1 Reactions
2 Replies
111 Views
Wananchi wa eneo la Malolo, Mtaa wa Mbopo katika Kata ya Mabwepande, Manispaa ya Kinondoni, wamelalamikia vitendo vya kudhulumiwa na kuuzwa kwa maeneo yao pamoja na barabara ya muda mrefu kwa watu...
3 Reactions
1 Replies
128 Views
  • Closed
Nakumbuka kuna mwamba mmoja aliekuwa akitumia ID tofauti kutongoza warembo wa JF, sasa kwa bahati mbaya au nzuri akawa anatumia ID tofauti na akajisahau akawa anawatumia mademu namba ile ile ya...
8 Reactions
28 Replies
395 Views
Juzi tumeona wingereza waziri mkuu kajiuzuru sio kwa ubaya ila kuliokoa taifa kabla ya kufikia tamati. Kwa afrika mpaka maamuzi magumu yatumike ndio mnajua mambo ya shakuwa mabaya. Mfano...
2 Reactions
3 Replies
87 Views
Elimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti. Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa...
2 Reactions
7 Replies
156 Views
Habari za leo. Katika uzi uliopita nilichapisha uzi ufuatao... https://www.jamiiforums.com/threads/mengine-haya-huumiza-tusaidiane.1622109/ Kwa lengo la kukusanya michango ya kifedha ili niweze...
13 Reactions
180 Replies
24K Views
TANZIA: MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020. Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga...
73 Reactions
763 Replies
82K Views
Chinua Achebe said that "the last drop of urine doesn't obey the gravitational force until you shake it 😂 . Huu ni msemo wa kuchekesha, lakini ukiuchambua kwa kina una mambo kadhaa ya kuvutia...
2 Reactions
0 Replies
231 Views
Kwa muda mrefu Marekani imekuwa ikiongoza dunia kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, nchi kama China na Urusi zimekuwa zikiongeza...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Habari wanajf.. Leo nahitimisha rasmi kuwa nadharia ya ANZA NA ULICHONACHO siyo sahihi baada ya mradi wangu kufeli. LENGO:kuzalisha vifaranga 30 kwa kutumia mitetea 3 MRADI:UFUGAJI WA KUKU WA...
5 Reactions
56 Replies
6K Views
Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za...
4 Reactions
22 Replies
412 Views
Wachina ni watu wenye kujua vitu vingi ila wanapitiliza mpaka waliowafundisha wanaona kama wao ni wajinga. Dunia inatabia moja kama masikio.Binadamu walikuta dunia inaweza kukabiri mfumo ila...
1 Reactions
3 Replies
130 Views
Sikubali haiwezekani mtoto afikishe miaka mitatu anaongea vizuri,alikua anabwabwaja maneno chungu nzima gafla tu akaanza kua na kigugumizi Toka hapo Yani anateseka sana kwenye kuongea hadi...
9 Reactions
54 Replies
738 Views
Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel je ni sahihi ?
1 Reactions
2 Replies
129 Views
Taarifa kwa umma kuhusu makala ya BCC . Statement by the Government of the United Republic of Tanzania on the BBC Documentary 📌
1 Reactions
1 Replies
90 Views
Ni aibu sana kwa kila jambo wanafafanua kisocho eleweka. Hapa nauliza maana naona kuna project saudia wanataka kufuta jangwa na china wamesha weza sasa maeneo mengi. Hapa kwetu tanzania tuna...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi. Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Back
Top Bottom