AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,047
- 5,197
Nadhani njia kuu yakusambaza lugha duniani ni UKOLONI(utumwa),HUAMIAJI,BIASHA(bidhaa).Je mbinu izo sisi waswahili wanaweza zitumia kwa dunia ya leo ambayo maofisi yote duniani yanatumia maelekezo yakizungu, bidhaa lugha ya kichina na kizungu, mashine na vifaa vya kidigitali vyote vipo kwamajina ya kizungu na kichina