WATIBELI TUNARUHUSIWA KULALA UKWENI. HATUNA HUO MWIKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Zipo jamii au makundi ya watu ambayo kwao ni mwiko kulala Ukweni. Kwao ni jambo aibu. Mila hiyo...
Mamia ya wananchi wamejitokeza kupata huduma katika Kambi Maalum ya Matibabu ya Macho inayoendeshwa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)kwa kushirikiana na Serikali ya...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence George, ameeleza bungeni leo Septemba 2, 2026 kuwa serikali inaendelea kusimamia kikamilifu utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote ili kuhakikisha kila mwananchi...
👇🏻
Kuogelea ni burudani nzuri, lakini maji yanaweza kuwa hatari usipochukua tahadhari. Kwa usalama wako, zingatia haya:
1️⃣ Usiogelee sehemu usiyoijua kina chake au ambayo haijaandaliwa kwa...
Habari za wakati Wadau wa JF....
Kutokana na namna vyombo vya habari vimekuwa vinafanya kazi nchini kwetu kuna namna nikiwa chuoni niliwahi kujutia kwanini niliamua Kusoma Course hii
Na kabla ya...
Yeah, naona watu ni kama hawapendi kuzungumzia habari ya kweli kabisa kuwa , binadamu hapo zamani alikuwa na mkia wa nyuma.
Sijui tunakwama wapi, unakuta mwalimu wa sayansi anapofundisha...
Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi...
1. Kupakwa dawa ya vidonda iitwayo GV
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetracycline
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6...
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
2 Septemba 2023 — kuzinduliwa kwa PAPU Tower Arusha
Rais Mhe Dr. Samia Suluhu Hassan alizindua rasmi Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower), lililopo...
"Mhe. Naibu Spika, Naomba kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuiongoza nchi yetu kwa Umahiri, Mafanikio...
Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!!
Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini)
Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za bidhaa za mafuta kwa mwezi Septemba 2026. Bei ya petroli imeshuka kwa Shilingi 102 kwa lita, huku bei ya...
Mgogoro wa mirathi katika familia ya marehemu Mchungaji Dr. Gertrude Rwakatare umeibuka, huku mtoto wake, Tib Kennes Rwakatare, akidai kunyimwa haki zake za mirathi na kumtuhumu dada yake, Kelen...
Wananchi tunaotumia usafiri wa umma, hususan wakazi wa Buza, tunakabiliwa na kero ya kutozwa nauli tofauti na bei elekezi.
Kwa mfano, nauli kutoka Mnazi Mmoja hadi Buza ni Shilingi 700, lakini...
META password moja kwa account zote.
Yaani unaingia Facebook, Instagram, WhatsApp na apps zingine za meta kwa password moja .
Sasa vip mtu akidaka password yako ana access kote daah. Hii...
CIVILIAN-COIN a Tanzanian Musical Artist on his thinking on Law and Love, he stated that "Law need Love but Love do not need Law to survive by force of Law". Why he say so, You can be in true love...
Kumekuwepo na kautaratibu ka kubakiza wanafunzi shuleni nyakati za likizo hasa april,june na septemba kwa madarasa ya mitihani mfano darasa la nne,saba,kidato cha pili ,nne na sita .Naomba kujua...
Sisi ni wahitimu wa mafunzo ya udereva kutoka Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Ikwiriri, kilichopo Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani.
Tunahitimu mafunzo mwezi Aprili 2026 na kufaulu vizuri. Tayari...