Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kuhakikisha wananchi wawili wa Kijiji cha Lilido, Kata ya Kitere, wanalipwa...
0 Reactions
2 Replies
83 Views
Aise watu wanajiamini. Pesa kweli inajeuri ingawa hatufahamu kafanyiwa nini mpaka akawa na hasira kiasi hiki.
1 Reactions
4 Replies
240 Views
Habari naombeni kujua adhabu ya kutembelea gari ya commercial(gari la biashara, plate number nyeupe) likiwa na plate number ya private (plate number ya njano)?
2 Reactions
14 Replies
872 Views
Huyo nani kajenga huo mpenthouse huko Arusha?
4 Reactions
4 Replies
187 Views
Ilikuwa taharuki kubwa! Loh! Imefungiwa tena! Kumbe was maintenance as notified by JF admin. Naona imerudi tena..Asante JF Maxence Melo
10 Reactions
32 Replies
409 Views
Mheshimiwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Ikiwa taarifa hizi ni za kweli, basi ni jambo linalohitaji uchunguzi wa haraka na hatua za kuwajibisha wahusika. Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa...
1 Reactions
3 Replies
153 Views
👆 Haya ni maneno ya Lissu ambayo nimeyasikia akiwa anahojiwa kwenye documentary ya bbc. Mwanadamu atabadilisha nguo, wapenzi na misimamo ila hawezi akabadilisha asili yake ndani yake.
2 Reactions
1 Replies
69 Views
Hivi unakatwa kodi kwenye zawadi?
1 Reactions
6 Replies
160 Views
Habari za muda huu ndugu wapenzi wa jukwaa hili la JamiiForums. Kuna Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ikulu iliyopo jijini Mbeya, anaye julikana kwa jina la Godfrey Sitayila amekuwa kero...
2 Reactions
2 Replies
182 Views
Kwa mtindo wa kila kiongozi kuanzisha chake na kukiuwa cha mwenzake ili yeye kuwa bora ni hatari kwa taifa. Zile elephant project kama sio magofu sasa naona zinelekea kuwa vyuma chakafu.
8 Reactions
60 Replies
1K Views
Muda utaongea! Kama alivyosema Albert Einstein kuwa the 4th dimension of universe is Spacetime! Hatujui watakuwa wapi na at what time!
1 Reactions
3 Replies
113 Views
Dini ya uislam pamoja na kuwa na mafunzo mazuri ila Bado watu makini hawataki kuwa viongozi wa dini hiyo Kwanini hao mashehe wasijielimishe ili kupata haiba na kutoa maoni yanayoendana na uelewa...
27 Reactions
163 Replies
2K Views
Habari wakuu. Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi...
23 Reactions
140 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu. Hapa nilipo najiona muda sio mrefu kuanzia saivi hadi miaka mitano ijayo nitaanza kumiliki fedha zingi yaani vibunda vya kutosha. Naombeni ushauri gari gani la kuanza...
3 Reactions
5 Replies
410 Views
Wanaume kila sheria ina tufanya kuwa wakosaji. Leo mzazi mwenzake anatamba
3 Reactions
6 Replies
231 Views
Ndoto ni kitu cha ajabu sana. Nimeota tunaishi katika dunia mbayo uhalisia haupo tena. Kwamba haya matumizi ya AI sio virtual pekee. Bali uhalisia kabisa. Tutaishi katika dunia ya PROMPTING...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
"Ninawasihi Watanzania wote, kabla ya kufanya uamuzi wa kununua ardhi, hakikisheni mnafika katika ofisi za ardhi kwa ajili ya kuhakiki uhalali wa eneo husika'. Serikali imejipanga kuhakikisha...
1 Reactions
5 Replies
357 Views
Ile paaap Ccm Chali Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia...
4 Reactions
54 Replies
695 Views
Hii wizara ya vijana ni kuchezea pesa na kuwahaada vijana tu kwa maneno sio vitendo. Maneno ni mengi sana kama alivyo yeye na yeye anauza maneno sio kuyatumia angeweza kutoboa kuliko kukubari na...
1 Reactions
2 Replies
94 Views
Usije kusema sikukwambia, ila utajuta na utatamani uvuke bahari kwa mguu kwenda zanzibar kufatilia pesa yako
5 Reactions
18 Replies
362 Views
Back
Top Bottom