Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Wana bodi, kumekucha, tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia uzima. Naomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshwaji wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Majengo, Kizota na Stendi Ndogo ya Mnada Mpya...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
12-7-2026 Mawakili wa Serikali wameilikia Wizara na Waajiri wawape Posho za Suti, Bib, Tai na Mikoba na nyumba , viatu ambazo huwa wanapewa tangu 2024 isipokuwa baadhi ya waajiri wachache hawatoi...
2 Reactions
4 Replies
127 Views
Kwema Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes...
12 Reactions
45 Replies
789 Views
MUDA, HAKIMU ASIYEPOKEA RUSHWA Na Emily Mwakilembe Mwanadamu anaweza kujenga ukuta wa uongo, lakini muda huufanya uchakazwe na upepo wa ukweli. Anaweza kununua sifa kwa fedha, lakini hawezi...
1 Reactions
0 Replies
79 Views
Kuitwa katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya si adhabu, bali ni fursa ya kusikilizwa na haki kutendeka
1 Reactions
4 Replies
125 Views
Serikali imeweka mfumo wa taa za kuongozea magari (traffic lights) katika eneo la Mombasa, Ukonga, kwa lengo la kupunguza ajali na kuimarisha usalama barabarani. Hata hivyo, bado kuna changamoto...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Magu. Nimefuatilia marekebisho ya herufi moja kwenye jina langu la mwanzo katika kitambulisho changu cha NIDA. Nimekamilisha taratibu zote nilizoelekezwa, ikiwemo...
2 Reactions
4 Replies
238 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo wa baadhi ya askari polisi katika eneo la Daraja la Nyerere, Kigamboni, Dar es Salaam. Ndugu yangu alikuwa akielekea Kigamboni kwa bajaji kwa ajili...
1 Reactions
0 Replies
126 Views
Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro.. Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha lami afu...
29 Reactions
141 Replies
2K Views
Anonymous
Naomba tupaze sauti kuhusu hali ya Barabara ya Kinzudi inayounganisha barabara ya Goba na Africana, ambayo kwa sasa imekuwa tishio kubwa kwa afya za wakazi, wafanyabiashara na watumiaji wa eneo...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
  • Redirect
Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza. Soma: PreGE2025 - Rais Samia...
1 Reactions
– Replies
– Views
Mi huwa naendesha gari ya shule frani iv iko maeneo ya kinyerezi leo katika mizunguko yangu ya kila siku bhna nikakutana na mwalimu mkuu nilivyo nishamaliza kuwafikisha wanafunzi nataka kupark...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la JF. Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa...
1 Reactions
1 Replies
112 Views
Mamia ya wananchi wamepokea hati zao za ardhi ndani ya muda mfupi kupitia huduma za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba)...
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kuhakikisha wananchi wawili wa Kijiji cha Lilido, Kata ya Kitere, wanalipwa...
0 Reactions
2 Replies
83 Views
Aise watu wanajiamini. Pesa kweli inajeuri ingawa hatufahamu kafanyiwa nini mpaka akawa na hasira kiasi hiki.
1 Reactions
4 Replies
240 Views
Back
Top Bottom