Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,818
- 9,817
Naona watanzania hamko serious kabisa na rasilimali zenu, kwakuwa Samia amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mimi nataka kuwa dalali wa rasilimali za nchi.
Nawezaje kuanza kuwaleta mabeberu kuchukua rasilimali zenu ili mimi nile chajuu?
Nawezaje kuanza kuwaleta mabeberu kuchukua rasilimali zenu ili mimi nile chajuu?