loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,666
- 6,148
Tukio la kuhuzunisha la bwana Laurent Kweka kumuua mke wake Janepher kwa kumpiga risasi imeleta simanzi na kutawala vichwa vya habari kila mahali hasa mitandao ya kijamii.
Sasa rasmi nimeamua kufunga huu mjadala wa kweka mara moja.
Janepher alipangiwa atakufa hivyo pindi alipozaliwa. Case closed.
Nimefunga huu mjadala sasa kayngay yoyote aposti uzi tena kuhusu Kweka atakiona cha moto. Hata ukilike tu na kucomment utafikiwa tu.
Fanyeni kazi!