Usikute huyu abuduli ni vice president kivuli sisi wananchi hatujui.
Maana si mara moja si mara mbili anamuwakilisha Samia huko nje ya nchi licha ya kutotambulika serikalini.
Sasa je kama jamaa...
Wayebusi ni Jamii ambayo imekuwepo miaka na miaka ila halitambuliki sana kwa watu wengi na Serikali halikubaliani kabisa na hii Jamii ya Wayebusi.
Ila kwa sasa inazidi bakiwa na watu wachache...
Binadamu tunahangaika sana na utafutaji na dunia.Tunafikia nafasi za kufanikiwa kisha tunasahau kuishi.
Katika pitapita zangu huko INSTAGRAM nimekutana na hii project "BOYS MENTORSHIP SURVIVAL...
Kuna vitabu viliondolewa kwenye Biblia tunayoitumia leo wakati wa mchakato wa kukusanya maandiko karne nyingi zilizopita. Kati ya hivyo, Kitabu cha Henoko (The Book of Enoch) ndicho chenye siri...
Rafiki yangu mmoja aliniuzia kifaa cha kieletronic wakati nanua hicho kifaa kwanza nilivyokipokea sikukielewa kwa sababu sijawai kukiona watu wengi wakikitumia, pili muonekano wake haukuwa kama...
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute...
Nini maana ya Shukrani?
Kumekuwa na maswali mengi kwa watu juu ya kumshukuru Mungu na kila mmoja anasema yake
Kumshukuru Mungu ni zaidi ya kutoa sadaka, ingawa kumshukuru Mungu kunaambatana na...
Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi...
Kitu kinachokufelisha wewe kuyafikia malengo yako na mafanikio yako ni TABIA ZAKO!
The Mind Game Control
Wengi wetu tunapenda kulaumu uchumi, serikali, ndugu zetu, au hata bahati mbaya pale...
1. Kwanza itaboresha ufanisi wa kazi maofisini. Wafanya kazi watawahi kuwahudumia watanzania.
2. Itaongeza kipato kwa wafanyabiashara kwani watahi kufungua biashara zao na kama kuna...
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.
Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona...
Unawakuta barabarani wanapungia mikono sijui wanafanyeje Kwa mabasi ya mikoani ama magari binafsi,then yule dereva nae anamulika mataa kama ana-blink.
Ni Nini?
Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado...
Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa.
Cc Interlacustrine R
Tunapongeza jitihada za ujenzi wa barabara zetu, hususani mijini. Lakini tatizo linakuja kwenye quality control. Barabara nzuri inakamilika, halafu unawekewa speed bump ya kijinga kama kichuguu au...
Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌
Waliowahi kuiona watanielewa😂
Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.