Baada ya kukaa kufikiria watajioneshaje kwenye mataifa kuwa TL ni mshitakiwa wa kweli.
7/7 wakaunganisha wale waliowateka,waliojaribu kueleza haki wapewe kesi za ugaidi ili watu waogope sasa...
Wananchi wa Kata ya Naalarami, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wanaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa maji, hali inayoathiri shughuli zao za kila siku pamoja na utoaji wa huduma...
Najua kuna wale watu ambao hapa JF watakimbilia hoo samee ,watendee mema.Ila wanaosema hayo maneno ndio hao watu naotaka kuwazungumzia hapa.
Ukiwa na pesa utaelewa hawa watu wapo vipi! Utaona...
Naona serikali ina hamu ya ugaidi
Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya
Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi
Wanachama 23 wa chadema wamepewa...
Be careful how you treat a men who truly sacrifice for you, some man don't leave because they plan to....... but they leave because the woman they chose stop choosing them.
Most men don't stop...
Miaka hiyo maeneo ya mikumi tumetoka zetu Dar tunaenda Zambia mimi na Mzee ameamua kuendesha gari lake mwenyewe lilikuwa ni Scania 112. Tulikutana na kituko cha gari kuzima tu bila sababu.
Kisha...
DOGO aliupata interview moja ya kazi alipoenda akafanya vizuri boss akamwambia anampa week 1 ya kujifunza na kwakuwa anakaa mbali atakuwa anapatiwa hela ya usafiri kila siku anapotoka kazini pesa...
Mpaka sasa huwezi kuelewa huyu waziri wa nini, huyu ni mtumishi wa nini.
Tokea siku ya Oktoba 29 imefikia polisi ndio anacheo kuliko JWTZ.
Tuje kwa msemaji wa serikali yani sasa kawa msemaji wa...
Hii mafa JF wekeni pin kabisa.Tokea October 29 2025 mpaka sasa kama shuguli za serikali zimeamisha kuwa shuguli za propaganda,matumizi ya ovyo kwenye mamlaka,mda mwengi kujisafisha na kuumbuka...
1. Unaanza kuwafurahisha watu kuliko kumtii Mungu.
2. Unatumia muda mwingi kwenye simu kuliko kwenye maombi au kujijenga.
3. Unaanza kuona dhambi kuwa jambo la kawaida.
4. Unapoteza amani kwa...
Kadri muda unavyoenda ndivyo ninavyozidi kuelewa namna uchumi na tabia za wanunuzi zinavyobadilika.
Kwenye biashara kuna dhana mbalimbali zinazofundishwa, moja wapo ikiwa ni "Ignorance of...
Nimeumia sana kusoma hii habari ya Mwalimu Melkisedeki Kitunzi Kaijage ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa chuo kikuu UDOM. Kaijage anafundisha somo liitwalo Government and Politics in Tanzania (PO...
Ni zaidi ya mtumwa nizaidi ya mfungwa
Ni zaidi yaaaa
Mtu una maduka matatu na ni bosi lakini unashinda dukani kama ndondocha/msukule
Muda wote unakaa unawaza kulipa watu mishahara unajinyima...
Huyu bwana ni moja ya vijana ambao walihamasishwa kufukuza wageni nchini afrika kusini,ili mamlaka zote za kibiashara zilizokuwa zikimilikiwa na wageni waziachie na wazawa ndiyo wawe wamiliki...
Kauli ya Brandon Gill, Mbunge wa Marekani, kwamba
“Uislamu haukuja Marekani kupitia jahazi la Mayflower, bali kupitia mfumo wa uhamiaji wa kujiangamiza”
si kubeza historia tu ni onyo. Onyo...
Hili jambo nimelikumbuka,,,,
Hapo zamani za kale kulikuwa na miradi mbalimbali iliyokuwa chini ya serikali.,,,kama vile NAFCO...
kwa kifupi sijui ilikuwaje kuna jamaa akawa General Manager kwenye...
Wengine uona siku za umuhimu kwenye maisha yao ni siku aliyoolewa au kuoa, siku aliyojenga nyumba,
SIKU MBILI MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO ni siku ya kuzaliwa na siku uliyojua kwann umezaliwa
WATU...
Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika Mashariki ni pamoja na:
1. VVU/UKIMWI
Bado ndilo gonjwa linaloongoza kwa unyanyapaa. Watu wenye VVU mara nyingi wanatengwa, kupoteza...
Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa
Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli.
Kitabu cha Hesabu 1:1-3:
1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani...