Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Sina muda wa kuandika thread ndefu sana. Lakini kwa ufupi sana kama wewe ni mfanya biashara wa mazao especially mahindi na mpunga njoo Mpanda -kapanga kama unaenda mwese. Mahindi yanauzwa...
19 Reactions
61 Replies
1K Views
Akizungumza Julai 29, 2026, kwenye mahojiano na Crown Media, Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema Vijana yaani Gen Z kuandamana ni kutokana na ukosefu wa ajira na mitaji ndio...
1 Reactions
1 Replies
66 Views
Tujitafakari, Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji...
12 Reactions
96 Replies
1K Views
Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Habari wadau, Kwanza napenda kuipongeza Serikali kwa kutuletea huduma ya umeme kupitia mradi wa REA katika Kijiji cha Mwalugulu, Kata ya Mwalugulu, Halmashauri ya Msalala. Kijiji cha Mwalugulu...
1 Reactions
2 Replies
266 Views
Habar za mda huu wadau, Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa, Ikawa kimya...
0 Reactions
10 Replies
311 Views
Unapoagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi kwenda Tanzania, unalipa kodi za : 1.Ushuru wa Forodha (Import Duty - 25%), Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty), . Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT -...
5 Reactions
4 Replies
861 Views
Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo na Uzazi kwa Wanaume kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma, Dkt. Remigius Rugakingira, amesema kuwa uume unaweza kuvunjika iwapo utapata msukumo mkubwa...
5 Reactions
11 Replies
273 Views
Wakoloni walipeleka maendeleo kwa kutumia mfumo wa amri, kulazimisha kazi, na kujenga miundombinu maalum kama reli kutoa rasilimali badala ya kugawanya utawala. Hasara za kugawa wilaya nyingi ni...
1 Reactions
3 Replies
119 Views
Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,? Zaidi...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha. Kuna kauli ukisikia watu...
22 Reactions
38 Replies
1K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinalaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ubomoaji wa makazi, uteketezaji wa mali, vitisho na ukatili unaofanywa na Kampuni ya Nolic kwa...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Kila halmashauri huwa ina mzee mmoja ambae ni mastermind na connector wa maswala tofauti. Hana elimu ila ana uzoefu wa kutosha wa siasa za halmashauri Alianza kama mkata majani hapo halmashauri...
1 Reactions
3 Replies
109 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwataarifu wadau wote na umma kwa ujumla kuwa huduma zote za utoaji wa Leseni za Biashara Kundi “A”, ambazo awali zilikuwa zinapatikana...
2 Reactions
1 Replies
163 Views
Dkt. MABULA: Ujenzi wa ghati kwenye Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Tanga umezingatia uhifadhi wa mazingira ya bahari na viumbe hai Mradi wa EACOP umejenga ghati...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni unawanyima Watu wengi kupata fursa zilizoko huko mtandaoni Mtandaoni kuna fursa nyingi lakini wapo weni wanaoogopa kuwa mtandaoni kwa kuongopa unyanyasaji ambao...
0 Reactions
1 Replies
88 Views
Vijana wa nia nzuri wana lalamika kwa idadi ya masingle maza na ambao washamiliki usajili wa timu tofauti. Kwa wimbi ambalo napata malalamiko ni wale wenye nia ya kuoa ila kinacho waumiza...
0 Reactions
2 Replies
82 Views
Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia...
5 Reactions
33 Replies
491 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…