Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kufuatia kauli ya Waziri wa Tamisemi Mh. Jafo kutishia kuwanyang'anya 50.9 billion za mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi mbezi luguruni kisa uongozi bado unavutana!!!!!!! Nimejiuliza hivi kweli...
0 Reactions
3 Replies
882 Views
Wadau Amani iwe nanyi! Nimependezwa zaidi Asubuhi hii kuwajulisha na kuwakumbusha maandiko matakatifu yanayopatikana katika Biblia, yanayoelezea sauti ya mtu aliae nyikani. Mtu huyu siyo...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu wa shule zinazomilikiwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ)wametakiwa kuboresha uendeshaji wa shule hizo ili kuendana na kasi ya Serikali Pia wametakiwa kufanya hivyo ili kukidhi mahitaji na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pengine ningeanza kwa kuuliza hivi Kardinali Pengo hana taarifa kuhusu tukio hili? Je, vipi Kakobe (mzee wa kula bata Ikulu), vipi kuhusu yule Shehe maarufu wa Dar es Salaam? Ni kama utani vile...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema Serikali haitaruhusu tena usafirishaji wa wanyama pori hai kutoka Tanzania kwenda nchi nyingine Waziri Kigwangalla amesema wanaenda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali iliamua kuanzisha shirika la kuendeleza viwanda vidogo (SIDO) kwa lengo la kuwasaidia wananchi wajikwamue kiuchumi kwa kuzalisha bidhaa zao ndogondogo za matumizi ya kilasiku. Kutokana...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wakuu! Kwa yoyote anaejua,naomba kujuzwa,Cameroon Embassy ipo eneo gani Dar es salaam(location). Kama una details zaidi,kuhusu visa fees,requirements...itanisaidia...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Shirika la umeme nchini (Tanesco),mkoa wa Arusha limewakamata Raymond Slivere na mfanyakazi wake Wilson Lukumay,kwa madai ya kujiunganishia umeme kinyume cha sheria na kuutumia.
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Wadau, Ni kweli inaingia akilini kwa kukamatwa mzazi wa mtoto aliyechinjwa nakutolewa viungo kwa minajili ya kuisaidia Polisi? Na shindwa kuelewa kwanini Polisi hawapelekwi mafunzo ya upelelezi...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Naam na yawe mambo 8... Mods msiunganishe uzi huu. Haniu fanya yafuatayo:- 1. Programming - Channel hii ina vipindi vingi local labda kuliko channel yoyote ya TV Tanzania lakini vipindi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wataaalamu wa Kufikiri,tujadiliane hivi: Si lazima Mungu awatokeeni Spika Ndugai na Mbunge Msukuma katika maisha yao physically kama ilivyotokea kwa mama Bikra Maria au Zakaria (mzazi wa Yohana...
12 Reactions
21 Replies
4K Views
Leo tarehe 07/02/2019 asubuhi ktk ukumbi wa mkapa uliyoko mbeya mjini, kulikuwa na kikao kati ya madereva boda boda na mkuu wa wilaya ya mbeya mjini pamoja na mkurugenzi wa jiji. Kikao hicho...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Hii inaitwa Mwana ukome..Tabata mmetisha..mnapata hela wapi wenzetu..bar zimetapika..40/40..pale Tabata bima..njoo the great park pale barakuda ni nyokooo..hata sehem ya kisigino hakuna. Pita...
6 Reactions
99 Replies
17K Views
Dunia kuna mambo! Babu mmoja aliyejulikana kwa jina la Dotto, Mkazi wa Kitangini kata ya Chanika jijini Dar es salaam, amekumbwa na aibu ya mwaka na kukiona cha moto baada ya kunaswa kwenye jumba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
NI neema kwa watumiaji wa mafuta! Hivyo ndivyo mtu anavyoweza kueleza kutokana na kushuka kwa bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mara ya pili mfululizo tangu kuanza kwa mwaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hapa kuna tweet ya Mh, Rais JPM baada ya shambulio la Mh Tundu Lissu, ikieleza masikitiko yake na kuagiza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua. Kisha kuna video ya Mh, Samia Suluhu akimjulia hali...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Redirect
Hili la kupanda juu ya bati kuweka umeme du si sawa, habari zaidi katika picha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
Tunashangaa kitendo cha kukaa kimya management ya benki ya EXIM tawi la Arusha kutokana na tukio la wananchi/wateja kuibiwa fedha zao na wafanyakazi wa benki hiyo. Tukio hili limejirudia mara kwa...
3 Reactions
86 Replies
18K Views
Hii nmeipenda sanaa, nikiwa mkoani morogoro na ubavu wangu pembeni maeneo ya FLOMI HOTEL tukavuka upande wa pili na kushuka na barabara lodge ya kwanza tukakuta imejaa! Ya pili yake chafu...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom