Uongo na uzandiki wa wanasiasa uchwara

Uongo na uzandiki wa wanasiasa uchwara

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Hapa kuna tweet ya Mh, Rais JPM baada ya shambulio la Mh Tundu Lissu, ikieleza masikitiko yake na kuagiza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua.
Kisha kuna video ya Mh, Samia Suluhu akimjulia hali Mh Tundu Lissu kisha
Lissu huyo huyo anasikika akimwambia makamu wa Rais nanukuu
"Msalimie sana Mh, Rais mwambie nashukuru"......

Leo hii Tundu lisu huyu huyu anasema the President has never ever.....!!
Screenshot_2019-02-07-19-07-43.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna tweet ya Mh, Rais JPM baada ya shambulio la Mh Tundu Lissu, ikieleza masikitiko yake na kuagiza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua.
Kisha kuna video ya Mh, Samia Suluhu akimjulia hali Mh Tundu Lissu kisha
Lissu huyo huyo anasikika akimwambia makamu wa Rais nanukuu
"Msalimie sana Mh, Rais mwambie nashukuru"......

Leo hii Tundu lisu huyu huyu anasema the President has never ever.....!!View attachment 1016089

Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 1/5/16 akiwa kilimanjaro magufuli alisema angepandisha mishahara na madaraja kwa watumishi wa umma!
mwaka ulofuatia sipandishi nahakiki kwanza
baadaye sipandishi mpaka uzalishaji uongezeke
2019 nimeunda bodi ya mishahara ili nijue namna ya kupandisha ( majaliwa, 2019)
nitanunua korosho zoote kwa siku mbili na kuzibangua hata kwa meno
tunaendlea na uhakiki
tunanunua kwa 2600
huu ndio uongo haswaaaaaaa
 
arehe 1/5/16 akiwa kilimanjaro magufuli alisema angepandisha mishahara na madaraja kwa watumishi wa umma!
mwaka ulofuatia sipandishi nahakiki kwanza
baadaye sipandishi mpaka uzalishaji uongezeke
2019 nimeunda bodi ya mishahara ili nijue namna ya kupandisha ( majaliwa, 2019)
Kuna mtu alikuwa akiitwa Ndumilakuwili kwenye jarida la Sani.
Nimejikuta najiwa na kumbukizi ghafla dah!!!
 
Tarehe 1/5/16 akiwa kilimanjaro magufuli alisema angepandisha mishahara na madaraja kwa watumishi wa umma!
mwaka ulofuatia sipandishi nahakiki kwanza
baadaye sipandishi mpaka uzalishaji uongezeke
2019 nimeunda bodi ya mishahara ili nijue namna ya kupandisha ( majaliwa, 2019)
nitanunua korosho zoote kwa siku mbili na kuzibangua hata kwa meno
tunaendlea na uhakiki
tunanunua kwa 2600
huu ndio uongo haswaaaaaaa
Ukirudia kusoma nukuu zako bila shaka utapata tafsiri halisi ya mawazo yako.
1: Jpm bado ni rais hivyo anaweza kupandisha hiyo mishahara wakati wowote atakapoona ameridhishwa na yale ayatakayo yafanyike kwa faida ya wote.

2. Usiwe muongo hotuba ya Mh, Rais akihutubia wafanyakazi Moshi iko yotube ukitaka tutaiweka humu na yale yote aliyoyasema kuhusu wafanyakazi..

3: si wote wana akili za kitoto kama zako.
Hotuba ya maamuzi ya ununuzi wa Korosho pia ipo Yotube, kama kwako kipengele cha siku mbili tu, ndio kina mantiki jitafakari sana uwezo wako.

Mazingira yanayozunguka mikoa ya kusini Tabia za wananchi haziwezi kufanya ununue Korosho zote kwa siku 2. Hata ungekuwa na uwezo mkubwa kiasi gani. Labda uwe umetoka sayari nyingine..

Mwisho jifunzeni kuwa wakweli siasa ya sasa sio ile ya zamani.. mnazidi kuonekana wa ajabu na mnapotea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 1/5/16 akiwa kilimanjaro magufuli alisema angepandisha mishahara na madaraja kwa watumishi wa umma!
mwaka ulofuatia sipandishi nahakiki kwanza
baadaye sipandishi mpaka uzalishaji uongezeke
2019 nimeunda bodi ya mishahara ili nijue namna ya kupandisha ( majaliwa, 2019)
nitanunua korosho zoote kwa siku mbili na kuzibangua hata kwa meno
tunaendlea na uhakiki
tunanunua kwa 2600
huu ndio uongo haswaaaaaaa
Sasa zimeuzwa Kenya bila kubanguliwa na Tundu Lissu walisema wamempa pesa za matibabu kumbe ni posho na mshahara yake ya ubunge aliyopata ndungai akiwa India.

Huyu anayesema alitakiwa heri na rais mbona yalisemwa na Samia. Yeye hana mdomo wala kalamu au simu? Lissu hawezi sema uongo kwenye media za kimataifa akijua wanamnukuu na wanamrekodi. Jiwe aje mwenyewe akanushe.
 
Lkn nakumbuka siku amepigwa risasi,kabula jiwe alihutubia nchi na katika mazungumzo yake alisema" msariti awezi kusavaivo ktk mapambano ya kiuchumi"na aliendelea na kubwabwaja kwa mifano mingi ya jeshini ambavyo msaliti hufanywa!
Na siku nyingi lisu walikuwa wakimtem kama msariti wa nchi na anaetumika na mabepari.Sasa unajuwa wewe alituma salam akiwa na maana ipi?!?
Na kwanini hamtaki kuusema ukweli huo?!!
Hamjui kuwa jiwe yeye ni muhongo zaidi na ndiye ametuletea shida zote hizi!?!!
Endeleeni kushindana hamtashinda,mshindani wenu kayashinda mauti na haya mengine mtasumbuka tu,na jamii inajuwa kuliko
Hapa kuna tweet ya Mh, Rais JPM baada ya shambulio la Mh Tundu Lissu, ikieleza masikitiko yake na kuagiza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua.
Kisha kuna video ya Mh, Samia Suluhu akimjulia hali Mh Tundu Lissu kisha
Lissu huyo huyo anasikika akimwambia makamu wa Rais nanukuu
"Msalimie sana Mh, Rais mwambie nashukuru"......

Leo hii Tundu lisu huyu huyu anasema the President has never ever.....!!View attachment 1016089

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn nakumbuka siku amepigwa risasi,kabula jiwe alihutubia nchi na katika mazungumzo yake alisema" msariti awezi kusavaivo ktk mapambano ya kiuchumi"na aliendelea na kubwabwaja kwa mifano mingi ya jeshini ambavyo msaliti hufanywa!
Na siku nyingi lisu walikuwa wakimtem kama msariti wa nchi na anaetumika na mabepari.Sasa unajuwa wewe alituma salam akiwa na maana ipi?!?
Na kwanini hamtaki kuusema ukweli huo?!!
Hamjui kuwa jiwe yeye ni muhongo zaidi na ndiye ametuletea shida zote hizi!?!!
Endeleeni kushindana hamtashinda,mshindani wenu kayashinda mauti na haya mengine mtasumbuka tu,na jamii inajuwa kuliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu una passport. Au kitambulisho cha Uraia wa Tanzania...?
Nakushauri mambo ya Watanzania waachie Watanzania wenyewe naamini Taifa lako lina mambo mengi ya maana ya kuyashughurikia zaidi ya Kuingilia mambo ya Nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom