Bodaboda wamdindishia mkuu wa wilaya wa Mbeya

Lukataluko

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,320
2,000
Leo tarehe 07/02/2019 asubuhi ktk ukumbi wa mkapa uliyoko mbeya mjini, kulikuwa na kikao kati ya madereva boda boda na mkuu wa wilaya ya mbeya mjini pamoja na mkurugenzi wa jiji.

Kikao hicho kimevunjika ghafra mara baada ya kutokea kutoelewana kati ya mkuu wa wilaya na madereva hao.

Madereva hao wamesema hawako tayari kununa vitambulisho vya wajasiriamali walivyo takiwa kuvinunua, ikumbukwe kuwa jiji la mbeya limepewa vitambulisho elfu 45, kwaajili ya kuwauzia wajasiriamali wadogo,wanyakyusa wanamsemo wao vakuti imbombo ngafu, upaul umusi ughu simwaghile inyali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIKE

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
4,490
2,000
serikalli inafanya ujasiriamali kimtindo...

ikae nao na ikibidi iwapunguzie bei maana elimu na ulazima wa kuuziwa hicho kitambulisho cha elfu 5 kwa elfu 20 bado haujafafanuliwa vya kutoshaa

labda kwa wale 'wajasiriamali' tulioonyeshwa siku ya uzinduziiSent using Jamii Forums mobile app
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,001
2,000
Leo tarehe 07/02/2019 asubuhi ktk ukumbi wa mkapa uliyoko mbeya mjini, kulikuwa na kikao kati ya madereva boda boda na mkuu wa wilaya ya mbeya mjini pamoja na mkurugenzi wa jiji.

Kikao hicho kimevunjika ghafra mara baada ya kutokea kutoelewana kati ya mkuu wa wilaya na madereva hao.

Madereva hao wamesema hawako tayari kununa vitambulisho vya wajasiriamali walivyo takiwa kuvinunua, ikumbukwe kuwa jiji la mbeya limepewa vitambulisho elfu 45, kwaajili ya kuwauzia wajasiriamali wadogo,wanyakyusa wanamsemo wao vakuti imbombo ngafu, upaul umusi ughu simwaghile inyali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lukataluko Unaelewa maana ya mtu kumdindishia mwingine?

Hao walikuwa ni mabasha ama wabakaji?

Umetukana pakubwa kwa makusudi ama bila kukusudia.

Yakupasa uombe radhi kwa lugha ya kuchefua uliyoitumia kuumba uzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukataluko

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,320
2,000
Mkuu Lukataluko Unaelewa maana ya mtu kumdindishia mwingine?

Hao walikuwa ni mabasha ama wabakaji?

Umetukana pakubwa kwa makusudi ama bila kukusudia.

Yakupasa uombe radhi kwa lugha ya kuchefua uliyoitumia kuumba uzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenitafsiri vibaya, or ulitaka niseme, wame mvimbia? bat yote ktk yote vijana wamemgomea mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukataluko

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,320
2,000
Wsmetoa sababu zao kuwa wao siyo wajasiriamali, wao ni wasafirishaji, wanalipa tozo kwa sumatra na bima,hivyo wamesema kama watahakikishiwa kuwa wakinunua hivyo vitambulisho watafutiwa hizo tozo zingine wako tayari kununua,lakini tofauti na hapo haiwezekani.
Kwa nini hawataki kununua??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom