papaamukuru
New Member
- Oct 23, 2013
- 1
- 3
Tunashangaa kitendo cha kukaa kimya management ya benki ya EXIM tawi la Arusha kutokana na tukio la wananchi/wateja kuibiwa fedha zao na wafanyakazi wa benki hiyo.
Tukio hili limejirudia mara kwa mara pasipo na hatua zozote kuchukuliwa.Je nani atakae simama na kuwasaidia au kuwatetea hawa wateja kwani wamepoteza imani na benki hii na wanataka fedha zao zirudishwe kwenye akaunti zao,lakini cha AJABU ni kwamba hili swala linapigwa tarehe tu toka mwezi3/2013 mpaka mwezi huu wa 10/2013 hakuna lolote la kusaidia.
TUNAOMBA MSAADA KUTOKA KWENU.